Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kumtii mumeo sio fantasy. Ndoa sio shuruti ya kisheria. Kama unaona ego yako ni kubwa kiasi cha kushindwa kuwa submissive kwa mwanaume, unaweza ukachagua kuwa single maisha yako yote. Hakuna haja ya kupretendWanawake wanawajua sana wanaume wa kibongo kuwa mnapenda fantasy sio uhalisia, Ile kingdom-lifestyle ndio mnayo kichwani, na wenyewe wanapita humo humo.
Sisi tunaoishi uhalisia mnatuita red flag😅😅😅
Mimi nawaunga mkono waendelee kupretend hivyo hivyo. Na nafikiri siku wakiacha kupretend , ndoa zitakufa kifo cha mende 🤣