Wanawake, mwanaume hazoeleki ndio maana mnaachwa

Kumtii mumeo sio fantasy. Ndoa sio shuruti ya kisheria. Kama unaona ego yako ni kubwa kiasi cha kushindwa kuwa submissive kwa mwanaume, unaweza ukachagua kuwa single maisha yako yote. Hakuna haja ya kupretend
 
Sahihi kabisa.

Submission ni uhalisia? submission ina expire date? Swali langu , ni uhalisia mwanadamu kusubmit to eternal?
 
Sasa kama tunajua hisia huisha kwa nini hatujiandai kwa siku ambayo hisia itaisha?
Hatujui kama hisia zitaisha ndiyo maana tunaingia kwenye ndoa/uchumba baadaye ghafla tunajikuta hatuna hisia.

Baada ya hisia kwisha ndipo tunaelewe kuwa hisia huwa zinaisha.
 
Mkuu wewe kwa yale mapishi kudumu na mwanamke ni ngumu sana
 
Enzi za wahenga Kulikuwa na TikTok mkuu? πŸ˜‚.

Anyway, Mimi nikirudi nyumbani usiku nikakuta mwanamke kazingua nampiga show ya nguvu. Tena kwa nyuma, yaani tackling from behind.
Wee jamaa sasa si unamharibu mke kumuingilia kinyume na maumbile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…