Wanawake, mwanaume hazoeleki ndio maana mnaachwa

Dawa ni hii ukimkuta nje na WATU mwambie toka asubuhi hujatandika kitanda na kupiga deki ndani mwambie Kwa ukali alafu ondoka utakuja nipa krejesho boss, HUENDA anakuchukulia poa SABABU unapenda kupika pika
 
Tatizo mnaokotana tu huko tiktok alafu mnaanza pika pakua😂😂

Anyway jaribu kuzungumza nae au mfukuze😂😂😂😂😂😂😂
 

Tafuta hela, muwekee house girl awe anaingia chunbani kwenu kusafisha chumba halafu Mpigie mimba mfanye mke mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…