Wanawake na kamchezo kao cha siri

Wanawake na kamchezo kao cha siri

geniusMe

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,780
Daah yani ni hatari sana , siku moja nilikua na friend wangu wa jinsi ya kike me nayeye huwatunaongea mambo mengi kwa undani zaidi bila kuoneana aibu , sometimes huwa tunaongea mada za mahusiano , music , movies na issue mbalimbali za maisha ya hapa na pale , siku moja tukiwa tunapiga story za hapa na pale akafunguka bwana kamtindo kapya ambako kameingia kwenye hostel zao za njee , yani ni hostel ambapo wanafunzi mbalimbali huwa wanakaa wa jinsi ya kike , sikuweza kuamini ,

Habari yenyewe inahusu wanawake na kamchezo cha ku-go down on each other!! , kuna kadada kalikua kana kaa hapo hostel kalileta huo mchezo hapo yaani wa lesbian anaeleza walianza kama utani kwa discussions zao za maswala ya mahusiano na mapenzi , sex tangu siku hiyo hako kamchezo kakaingia hapo basi ananiambia majina ya wanaoshiliki hako kamchezo cha kupeana raha wanawake kwa wanawake siku weza kuamini nikawa na kataa kuamini ,

Ndipo nikamuuliza demu mmoja kama utani , kwamba siku hizi mnatubania kumbe mnapeana wenyewe siku hizi , alinijibu wew me hata sipo kwenye kundi hilo yani me niko nao mbali kabisa , nikamuuliza kumbe ni kweli akasema we acha tu!! nikabaki mdomo wazi

Daah kwel dunia imefika mwisho tuliyokua tunayasikia mbali sasa hiv yameshafika mlangoni , nashangaa katoto unakatokea unafanya kila kitu unakutosa kumbe ana njia zake mwenyewe za ku enjoy duuh!!
 
Mwanaume wa dar unakaa unaongea na demu story za kusagana!

Kwanini na ww usimuombe umnyonye kisimi tu?
Sio. Kila demu anafaa kuwa demu wako wengne ni marafk tu , tena sometimes anakupa connections za watoto wazuri , pia unamfahamu bwana wake, ni kawaida tu!
 
Daah yani ni hatari sana , siku moja nilikua na friend wangu wa jinsi ya kike me nayeye huwatunaongea mambo mengi kwa undani zaidi bila kuoneana aibu , sometimes huwa tunaongea mada za mahusiano , music , movies na issue mbalimbali za maisha ya hapa na pale , siku moja tukiwa tunapiga story za hapa na pale akafunguka bwana kamtindo kapya ambako kameingia kwenye hostel zao za njee , yani ni hostel ambapo wanafunzi mbalimbali huwa wanakaa wa jinsi ya kike , sikuweza kuamini , habari yenyewe inahusu wanawake na kamchezo cha ku-go down on each other!! , kuna kadada kalikua kana kaa hapo hostel kalileta huo mchezo hapo yaani wa lesbian anaeleza walianza kama utani kwa discussions zao za maswala ya mahusiano na mapenzi , sex tangu siku hiyo hako kamchezo kakaingia hapo basi ananiambia majina ya wanaoshiliki hako kamchezo cha kupeana raha wanawake kwa wanawake siku weza kuamini nikawa na kataa kuamini , ndipo nikamuuliza demu mmoja kama utani , kwamba siku hizi mnatubania kumbe mnapeana wenyewe siku hizi , alinijibu wew me hata sipo kwenye kundi hilo yani me niko nao mbali kabisa , nikamuuliza kumbe ni kweli akasema we acha tu!! nikabaki mdomo wazi
Daah kwel dunia imefika mwisho tuliyokua tunayasikia mbali sasa hiv yameshafika mlangoni , nashangaa katoto unakatokea unafanya kila kitu unakutosa kumbe ana njia zake mwenyewe za ku enjoy duuh!!

madem wengi sana wano huo mchezo kama unavyooona majamaa yanavyopiga punyeto
 
Marafiki mnaoongea mambo ya kunyonyana kyuma?
Ndio hivyo tena mkuu me siko na uchu kihivyo na wanawake kiasi cha kila demu kutaka kuwa nae , kwanza inapoteza muda sana very time consuming
 
Kama wao kwa wao wanaweza fikishana kileleni huwa wanaviponda vibamia kwanini?
 
GeniusMe bado mdogo sana
Lesbiana kwa kina dada naona zinawasaidia sana, kwanza wanamalizana hapo hapo
kuliko mwanamume akipewani lazima akatangaze Mji mzima
magonjwa ni mengi, Mimba, wivu usafi hakuna, dume akimaliza anafukia mta..mbo na kuondoka
 
Nilikua naonaga wanawake wanashikana makalio viuno nachukulia ni kawaida tu kwao ku show love kwa each other kumbe wanavuka mipaka , the thing that they do to one another huko mafichoni mara nying man hatufany kweny game ndio sababu ndoa zinawashinda sometimes
 
Kuna movie ya ki Nigeria niliiona couple walipata maid kumbe ni lesbian. Mume alikuwa director wa kampuni mke alikaa nyumbani muda mwingi maid alianza kumchanganya mke mpaka kawa hataki hata kumuona mumewe
Baadae mume alipoanza kuwa mpweke maid aligeuza kibao kwa jamaa.
Hapo ndipo nilijua shetani si lazima awe na mapembe
 
Ni movie tu hiyo,huyo shetani anahusikaje na movie mkuu?
 
Watoto wa kike ku*mbana wenyewe/wao kwa wao ni selfishness yenye aibu!
 
Kuna movie ya ki Nigeria niliiona couple walipata maid kumbe ni lesbian. Mume alikuwa director wa kampuni mke alikaa nyumbani muda mwingi maid alianza kumchanganya mke mpaka kawa hataki hata kumuona mumewe
Baadae mume alipoanza kuwa mpweke maid aligeuza kibao kwa jamaa.
Hapo ndipo nilijua shetani si lazima awe na mapembe
tabia hii nadhani inafanywa na akina sister kuliko hata mapenzi ya jinsi moja kwa wanaume , naona nature ya kina dada kuwa karibu na utayari wao kuonesha kushikana na kuchezeana ni ngumu kujua sababu jamii inachukulia kawaida sana wadada kujifungia chumbani kwa muda mlefu kuliko wanaume kua na ukaribu ki hivyo , hatari!!!
 
Back
Top Bottom