geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,311
- 1,780
Daah yani ni hatari sana , siku moja nilikua na friend wangu wa jinsi ya kike me nayeye huwatunaongea mambo mengi kwa undani zaidi bila kuoneana aibu , sometimes huwa tunaongea mada za mahusiano , music , movies na issue mbalimbali za maisha ya hapa na pale , siku moja tukiwa tunapiga story za hapa na pale akafunguka bwana kamtindo kapya ambako kameingia kwenye hostel zao za njee , yani ni hostel ambapo wanafunzi mbalimbali huwa wanakaa wa jinsi ya kike , sikuweza kuamini ,
Habari yenyewe inahusu wanawake na kamchezo cha ku-go down on each other!! , kuna kadada kalikua kana kaa hapo hostel kalileta huo mchezo hapo yaani wa lesbian anaeleza walianza kama utani kwa discussions zao za maswala ya mahusiano na mapenzi , sex tangu siku hiyo hako kamchezo kakaingia hapo basi ananiambia majina ya wanaoshiliki hako kamchezo cha kupeana raha wanawake kwa wanawake siku weza kuamini nikawa na kataa kuamini ,
Ndipo nikamuuliza demu mmoja kama utani , kwamba siku hizi mnatubania kumbe mnapeana wenyewe siku hizi , alinijibu wew me hata sipo kwenye kundi hilo yani me niko nao mbali kabisa , nikamuuliza kumbe ni kweli akasema we acha tu!! nikabaki mdomo wazi
Daah kwel dunia imefika mwisho tuliyokua tunayasikia mbali sasa hiv yameshafika mlangoni , nashangaa katoto unakatokea unafanya kila kitu unakutosa kumbe ana njia zake mwenyewe za ku enjoy duuh!!