Wanawake na kasumba ya kusingizia mimba

Wanawake na kasumba ya kusingizia mimba

Njia namba mbili naitumia sana,na mala zote naibuka kidedea maana mwanamke akiwa anawaza wa kumbambika hupoteza kumbukumbu
 
Nimelea mtu tangu december yaani kumpangia nyumba na package zote then kajifungua june halafu wanakomaa eti mwanangu, sijui labda mimba siku hizi ni miezi sita.
Makubwa au unaona kumsaidia mwenzio kulea?
 
Hii inaonyesha wengi mko kwenye mahusiano ya kusogeza siku. Kwann msiwe na watu serious kuepusha aya mambo madogomadogo..Yaan mm siwez kua mwanaume ambae akinipa mimba atazingua. Na akizingua sina wa kumpa mana nakuaga na mtu mmoja tu. Ukiwa kitombi lazma usingiziwe tuuu.
 
Mmh mi siziwez jaman..sijawai tumia izo..tukishapima bas..na nikiwa na mpenzi nasex mara mbili tu kwa mwez so hakuna mimba itaingia ni rahis kujua siku za kuduu.
Ni vizuri kama uko makin
 
Wanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi!
Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba yake sasa kwa vile jamaa alikuwa ana shauku sana ya kupata mtoto akakubali na kuhudumia mimba hadi mtoto akazaliwa!
Mtoto alipofikisha miaka mitano siku mtoto anaumwa na alipopelekwa hospital ikahitajika aongezewe damu sasa ikabidi baba achukuliwe vipimo ili achukuliwe damu Mara paap! Ikaonekana damu yake haiendani kabisa na mtoto ndio mziki ulipoanzia hapo! Sasa mziki upi na wakati ni blood group tu? Alifanya DNA au alikurupuka?

Mimi binafsi nimeshasingiziwa mimba zaidi ya Mara tatu na wanawake tofauti na zote nimeruka mitego!
Huwa natumia mbinu tatu!
1:mwanamke akiniambia ana mimba yangu kwanza sionyeshi kustuka!lakini sikubali wala sikatai kwa sababu unaweza ukakataa kumbe ni kweli kiumbe wako,ama pia unaweza kukubali kumbe umeingia cha kike ama pia mwanamke anaweza akakwambia ana mimba kwa kukutania ili aone uta react vipi!

2:Huwa naweka sana kumbukumbu siku napo sex na mwanamke kavu kavu na nitafanya na yeye kitu Fulani ili aikumbuke vizuri hiyo siku kwani akisema ana mimba yangu basi nitaanzia kupiga hesabu siku niliposex kwa Mara ya kwanza na siku ya mwisho kusex nae ili nikimpeleka kufanya vipimo nijue mimba iliingia siku gani ili nilinganishe na zile siku zangu nilizoweka kumbukumbu
3😛iga ua garagaza mtoto akizaliwa lazima nipime DNA
 
Wengine ndomu hatujui kuzitumia kabisa sio kwamba hatupendi ila MTU unavaa ndomu dk kumi kila ukiivuta ikae vizuri bado haikubali hadi mzuka unakata
Afahari kumbe sipo pekeyangu, mkuu nilikuwa nafedheheka sana kujiona sina bahati ya kuvaa hizo kitu. Yani nikivaa inachanika mara inateleza kichwa haingii aisee zimenishinda kabisa hizo vifaa..sijui mwisho wake itakuaje ila nimeoa sina stress..
 
Wanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi!
Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba yake sasa kwa vile jamaa alikuwa ana shauku sana ya kupata mtoto akakubali na kuhudumia mimba hadi mtoto akazaliwa!
Mtoto alipofikisha miaka mitano siku mtoto anaumwa na alipopelekwa hospital ikahitajika aongezewe damu sasa ikabidi baba achukuliwe vipimo ili achukuliwe damu Mara paap! Ikaonekana damu yake haiendani kabisa na mtoto ndio mziki ulipoanzia hapo!

Mimi binafsi nimeshasingiziwa mimba zaidi ya Mara tatu na wanawake tofauti na zote nimeruka mitego!
Huwa natumia mbinu tatu!
1:mwanamke akiniambia ana mimba yangu kwanza sionyeshi kustuka!lakini sikubali wala sikatai kwa sababu unaweza ukakataa kumbe ni kweli kiumbe wako,ama pia unaweza kukubali kumbe umeingia cha kike ama pia mwanamke anaweza akakwambia ana mimba kwa kukutania ili aone uta react vipi!

2:Huwa naweka sana kumbukumbu siku napo sex na mwanamke kavu kavu na nitafanya na yeye kitu Fulani ili aikumbuke vizuri hiyo siku kwani akisema ana mimba yangu basi nitaanzia kupiga hesabu siku niliposex kwa Mara ya kwanza na siku ya mwisho kusex nae ili nikimpeleka kufanya vipimo nijue mimba iliingia siku gani ili nilinganishe na zile siku zangu nilizoweka kumbukumbu
3😛iga ua garagaza mtoto akizaliwa lazima nipime DNA
Pima dna
 
Back
Top Bottom