Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Njia namba mbili naitumia sana,na mala zote naibuka kidedea maana mwanamke akiwa anawaza wa kumbambika hupoteza kumbukumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka kwa DaiMe yaani hapa najipanga kwenda kumpelekea mimba ney was mitego[emoji23]
Makubwa au unaona kumsaidia mwenzio kulea?Nimelea mtu tangu december yaani kumpangia nyumba na package zote then kajifungua june halafu wanakomaa eti mwanangu, sijui labda mimba siku hizi ni miezi sita.
Nalo hilo neno najua mwanangu anaweza hata kurithishwa madale nzimaPeleka kwa Dai
Ni kweli mkuuNjia namba mbili naitumia sana,na mala zote naibuka kidedea maana mwanamke akiwa anawaza wa kumbambika hupoteza kumbukumbu
kama tayar ushaanza kuhudumia means ushaikubaliNamaanisha sipaniki! Maana ya kusema sikubali wala sikatai ni kwamba wakati nipo kwenye research yangu kwa muda huo nitaendelea kuhudumia mimba hewa kama kawaida
Huyo ataikataa tuMe yaani hapa najipanga kwenda kumpelekea mimba ney was mitego[emoji23]
Mmh mi siziwez jaman..sijawai tumia izo..tukishapima bas..na nikiwa na mpenzi nasex mara mbili tu kwa mwez so hakuna mimba itaingia ni rahis kujua siku za kuduu.Vaa condom..that's the best solution
Ni vizuri kama uko makinMmh mi siziwez jaman..sijawai tumia izo..tukishapima bas..na nikiwa na mpenzi nasex mara mbili tu kwa mwez so hakuna mimba itaingia ni rahis kujua siku za kuduu.
Wanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi!
Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba yake sasa kwa vile jamaa alikuwa ana shauku sana ya kupata mtoto akakubali na kuhudumia mimba hadi mtoto akazaliwa!
Mtoto alipofikisha miaka mitano siku mtoto anaumwa na alipopelekwa hospital ikahitajika aongezewe damu sasa ikabidi baba achukuliwe vipimo ili achukuliwe damu Mara paap! Ikaonekana damu yake haiendani kabisa na mtoto ndio mziki ulipoanzia hapo! Sasa mziki upi na wakati ni blood group tu? Alifanya DNA au alikurupuka?
Mimi binafsi nimeshasingiziwa mimba zaidi ya Mara tatu na wanawake tofauti na zote nimeruka mitego!
Huwa natumia mbinu tatu!
1:mwanamke akiniambia ana mimba yangu kwanza sionyeshi kustuka!lakini sikubali wala sikatai kwa sababu unaweza ukakataa kumbe ni kweli kiumbe wako,ama pia unaweza kukubali kumbe umeingia cha kike ama pia mwanamke anaweza akakwambia ana mimba kwa kukutania ili aone uta react vipi!
2:Huwa naweka sana kumbukumbu siku napo sex na mwanamke kavu kavu na nitafanya na yeye kitu Fulani ili aikumbuke vizuri hiyo siku kwani akisema ana mimba yangu basi nitaanzia kupiga hesabu siku niliposex kwa Mara ya kwanza na siku ya mwisho kusex nae ili nikimpeleka kufanya vipimo nijue mimba iliingia siku gani ili nilinganishe na zile siku zangu nilizoweka kumbukumbu
3😛iga ua garagaza mtoto akizaliwa lazima nipime DNA
Na maradhi pia?mimba wanakimbia magonjwa je?kizaz cha nyoka hikiUkipiga kavu mimba ni moja ya matokeo
..
Afahari kumbe sipo pekeyangu, mkuu nilikuwa nafedheheka sana kujiona sina bahati ya kuvaa hizo kitu. Yani nikivaa inachanika mara inateleza kichwa haingii aisee zimenishinda kabisa hizo vifaa..sijui mwisho wake itakuaje ila nimeoa sina stress..Wengine ndomu hatujui kuzitumia kabisa sio kwamba hatupendi ila MTU unavaa ndomu dk kumi kila ukiivuta ikae vizuri bado haikubali hadi mzuka unakata
Pima dnaWanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi!
Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba yake sasa kwa vile jamaa alikuwa ana shauku sana ya kupata mtoto akakubali na kuhudumia mimba hadi mtoto akazaliwa!
Mtoto alipofikisha miaka mitano siku mtoto anaumwa na alipopelekwa hospital ikahitajika aongezewe damu sasa ikabidi baba achukuliwe vipimo ili achukuliwe damu Mara paap! Ikaonekana damu yake haiendani kabisa na mtoto ndio mziki ulipoanzia hapo!
Mimi binafsi nimeshasingiziwa mimba zaidi ya Mara tatu na wanawake tofauti na zote nimeruka mitego!
Huwa natumia mbinu tatu!
1:mwanamke akiniambia ana mimba yangu kwanza sionyeshi kustuka!lakini sikubali wala sikatai kwa sababu unaweza ukakataa kumbe ni kweli kiumbe wako,ama pia unaweza kukubali kumbe umeingia cha kike ama pia mwanamke anaweza akakwambia ana mimba kwa kukutania ili aone uta react vipi!
2:Huwa naweka sana kumbukumbu siku napo sex na mwanamke kavu kavu na nitafanya na yeye kitu Fulani ili aikumbuke vizuri hiyo siku kwani akisema ana mimba yangu basi nitaanzia kupiga hesabu siku niliposex kwa Mara ya kwanza na siku ya mwisho kusex nae ili nikimpeleka kufanya vipimo nijue mimba iliingia siku gani ili nilinganishe na zile siku zangu nilizoweka kumbukumbu
3😛iga ua garagaza mtoto akizaliwa lazima nipime DNA
Rahisi saiviNa bahati mbaya kupima DNA kwenye nchi yetu si rahisi kama unavyodhani.
Ukiwa mzembe sio rahisi ila ukiwa serious na maamuzi yako wala.Na bahati mbaya kupima DNA kwenye nchi yetu si rahisi kama unavyodhani.