Kwani mama S, simu yako ina download picha bila ruhusa yako? Yaani automatic?Mi nafurahia video za vichekesho,habari ,,sasa watu wakirusha sura zao wananichosha kila saa kuwafuta
Ngoja nibadiliKwani mama S, simu yako ina download picha bila ruhusa yako? Yaani automatic?
Hebu badilisha settings ufurahie maisha
Ukishindwa, nistue!!Ngoja nibadili
SawaUkishindwa, nistue!!