BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
I hope wewe ni jasiri wa kuweza kuzuia gharika linalokuja.....
we ngoja utaniambia baada ya hii post kufikia page ya piliKwanini jamaa yangu aisee
I hope wewe ni jasiri wa kuweza kuzuia gharika linalokuja.....
Kama asipobadilisha hapo anapoindicate wote wametoa lazima achangamshwe kidogo!Sijui mara ngapi watu wafundishwe kuhusu swala la kujenerolaiz watu/vitu!
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.
Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.
we ngoja utaniambia baada ya hii post kufikia page ya pili
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.
Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.
Blue Balaa, sidhani kama kuna mwanamama yeyote ambaye atafika hapa na kukiri kwamba ameshawahi kutoa mimba. Aseme hivyo ili iwe nini?? utoaji wa mimba ni ''marufuku'' na ni kama tendo la kufedhehesha.
Cha msingi ni kujadiri hivi - kwanini mabinti walio wengi wanatoa mimba, nini effect yake na nini kifanyike labda kuzuia hizi mimba zisizohitajika
Unpopular call! Expect new brand of names on your face!
Shida yao wanacho niuzi hawataki kuwa wakweli. mimba wanatoa halafu ukiwauliza wote wanajifanya hawajawahi kutoa.
Chokochoko mchokonoe pweza mana binadamu hutamuweza.
Wanawake wote wakuudhi wewe umekuwa nani? wakwambie ukweli ili iweje? mfano tukisema wanaume wengi wanashughulikiwa na midume wenao kama ni kweli wewe utajitaja na kukiri? hebu fikiria kabla ya kuanzisha mada za kufurahisha jamvi. Kwanza kaanze kuuliza ndugu zako wote wa kike kama wametoa mimba halafu uendelee na research yako?
Chokochoko mchokonoe pweza mana binadamu hutamuweza.
Hahahahaha hii ina maana gani? Wengine tumeanza kujifunza kiswahili darasa lanne huko nyuma ni kisukuma tu.
Ukweli ni kwamba ndio zinatolewa hata mimi nimeona ila kusema wote wanahusika haifai!Maana kama ingekua kweli usingepishana na watoto wadogo mitaani!Narudia tena acha kujenerolaiz!Halafu mnapenda sana kutumi neno ku generalize kama defensive mechanism.
Samahani Lizzy lakini kweli Lizy wewe hujawahi kabsaaaaaaaaaaaaaaa? sema tu ukweli
Uwiiii aisee Voice of reason uko wapi? mambo yameshaharibika huku. Miss Pirate do me a favour. dada zangu ni ngumu kuwauliza ila hebu nisaidie. Wewe vipi mwenzangu hujawahi?