Wanawake na mambo ya kutoa mimba

Wanawake na mambo ya kutoa mimba

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.
 
Blue Balaa, sidhani kama kuna mwanamama yeyote ambaye atafika hapa na kukiri kwamba ameshawahi kutoa mimba. Aseme hivyo ili iwe nini?? utoaji wa mimba ni ''marufuku'' na ni kama tendo la kufedhehesha.

Cha msingi ni kujadiri hivi - kwanini mabinti walio wengi wanatoa mimba, nini effect yake na nini kifanyike labda kuzuia hizi mimba zisizohitajika
 
I hope wewe ni jasiri wa kuweza kuzuia gharika linalokuja.....

Kama asipobadilisha hapo anapoindicate wote wametoa lazima achangamshwe kidogo!Sijui mara ngapi watu wafundishwe kuhusu swala la kujenerolaiz watu/vitu!
 
Halafu mnapenda sana kutumi neno ku generalize kama defensive mechanism.
Samahani Lizzy lakini kweli Lizy wewe hujawahi kabsaaaaaaaaaaaaaaa? sema tu ukweli
 
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.

Babuee leo umeamkia uvunguni? Kama uliokuwa nao wametoa mimba siyo wanawake wote. Kwanza wewe utakuwa ulitoa nao mimba sema kwavile haikai tumboni kwako na hausafishwi. Kwa namna moja au nyingine ulishiriki kwa akili na dhamira yako ili hao mademu wako watoe mimba.

Au wewe ni daktari? na umewatoa wangapi mimba? tena tumia kinga siyo kuacha protini zako kwa kila demu wako.
 
Sura mbaya! Mimba yako ingetolewa ungezaliwa wewe?
Waambie dada zako waache kutoa.
 
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.

Unpopular call! Expect new brand of names on your face!
 
Blue Balaa, sidhani kama kuna mwanamama yeyote ambaye atafika hapa na kukiri kwamba ameshawahi kutoa mimba. Aseme hivyo ili iwe nini?? utoaji wa mimba ni ''marufuku'' na ni kama tendo la kufedhehesha.

Cha msingi ni kujadiri hivi - kwanini mabinti walio wengi wanatoa mimba, nini effect yake na nini kifanyike labda kuzuia hizi mimba zisizohitajika

Shida yao wanacho niuzi hawataki kuwa wakweli. mimba wanatoa halafu ukiwauliza wote wanajifanya hawajawahi kutoa.
 
Wanawake wote wakuudhi wewe umekuwa nani? wakwambie ukweli ili iweje? mfano tukisema wanaume wengi wanashughulikiwa na midume wenao kama ni kweli wewe utajitaja na kukiri? hebu fikiria kabla ya kuanzisha mada za kufurahisha jamvi. Kwanza kaanze kuuliza ndugu zako wote wa kike kama wametoa mimba halafu uendelee na research yako?
Chokochoko mchokonoe pweza mana binadamu hutamuweza.
 
Uwiiii aisee Voice of reason uko wapi? mambo yameshaharibika huku. Miss Pirate do me a favour. dada zangu ni ngumu kuwauliza ila hebu nisaidie. Wewe vipi mwenzangu hujawahi?
 
Hahahahaha hii ina maana gani? Wengine tumeanza kujifunza kiswahili darasa lanne huko nyuma ni kisukuma tu.

Mchungaji bwana unanifurahisha. Ni hivi kuna mambo mengine haipendezi kufuatilia mana unaweza kukutana na vitu hatari ukashindwa kuhimili tena kwa sisi binadamu.
 
Halafu mnapenda sana kutumi neno ku generalize kama defensive mechanism.
Samahani Lizzy lakini kweli Lizy wewe hujawahi kabsaaaaaaaaaaaaaaa? sema tu ukweli
Ukweli ni kwamba ndio zinatolewa hata mimi nimeona ila kusema wote wanahusika haifai!Maana kama ingekua kweli usingepishana na watoto wadogo mitaani!Narudia tena acha kujenerolaiz!
 
Uwiiii aisee Voice of reason uko wapi? mambo yameshaharibika huku. Miss Pirate do me a favour. dada zangu ni ngumu kuwauliza ila hebu nisaidie. Wewe vipi mwenzangu hujawahi?

Mtu mzima haulizi shimo liko wapi. bahati mbaya mimi siyo mtoto wa mjini na hamna sharobaro yoyote ninae ruhusu kavu kavu.
Kama nitashika mimba sijatarajia inawezekana nikatoa.
 
Back
Top Bottom