Wanawake na mambo ya kutoa mimba

Wanawake na mambo ya kutoa mimba

Thx for thinking that big,,napanda mlimani kwa ajili yako saint na Aspro

the st. yupo juu ya milima ujue....ukishafika kileleni basi angalia juu utaniona.....:angel:
 
wewe Blue Balaa laana unatembea na wanawake hadi 100+ na wote wamechomoa mimba? Siamini, yawezekana umeliwa hela zilizodaiwa za kutoa mimba, au wenzio walikusaidia.
Hiyo ya kuchakachua mimba ambazo hazipo, ndiyo mfumo mpya wakuwakomesha wanaume wanaopenda pekupeku. Endelea tu na mchezo wako, utatoa zingine hamsini ha ha hah hahahahahahaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Kuna sababu nyingi za mwanamke kutoa mimba ikiwemo ya maradhi/stress.
Vile vile dada zetu na mama zetu wanapewa mimba na wanaume kama wakitoa haliwezi kuwa
kosa lao pekee ni la jinsia zote mbili.
 
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.

Mimi sijawahi!, wala sitawahi!
 
Shida yao wanacho niuzi hawataki kuwa wakweli. mimba wanatoa halafu ukiwauliza wote wanajifanya hawajawahi kutoa.

Hiyo experience uliyonayo kwa mademu zako na dada zako usigeneralise kwa wanawake wote..umesikia wewe!
 
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana tuwe wa kweli.

Mimi mademu wote ambao nimepata kuwa nao (100+) wameshawahi kutoa mimba either kabla ya kuwa na mimi na hata baada kuwa yuko na mimi.

Aiseeeeeeeee!!! Nadhani umeambiwa vya kutosha, na kama unazo humo kichwani, uyafanyie kazi uloambiwa.
Na kama wewe ni muungwana, Rusha thread ingine hapo uombe msamaha, tutakuelewa halafu tutakuona mtu badala ya jitu.

Halafu upuuuuzi kama huu ni zaidi ya Crapiest, unaitwa KIBURI CHA UZIMA!! Na ni sifa ya MKUU WA MASHETANI LUCIFER!!
Kama kweli hukudhamiria hiki tulichokielewa kwako.
Uwe tu muungwana OMBA MSAMAHA.
 
Back
Top Bottom