Wanawake na msemo wa "chako changu, changu changu"

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Habari wakuu!

Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta mwanamke anaomba hela ya matumizi kwa mumewe wakat anajua kwamba hana hela sometimes na akinyimwa lawama nyingi.

Kwa upande wangu ni kwamba zaman kdg ilikua ni kwasabab mwanamke hana kaz lakini ck hz lijit lina kaz bd utaskia, 'naomba pesa ya kusuka.'

Na anajua mumewe hana hiyo pesa, yani mwanaume apambane kula ya familia,apambane kusomesha watoto, apambane kuwapa mahitaj muhimu bado ampe m2 hela ya kusuka wkt yeye ana hy hela.

Duuh iv hz pesa zao huenda wapi? Huu ni mtazamo wangu. Nawasilisha?
 
sweery
 
Niko nakamilisha report yangu ya uchunguzi. Kuna siku nitsiweka hapa(publish)
 
Acha ujinga....maisha yamebadirika Sasa ila wewe bado una akili za zamani.

Ji update bro
Simp anaona sifa kusifiwa ujinga kwa kigezo cha kuitwa mwanaume unalazimishwa kuamin kuwa ukiprovide ndio umekamilika

Unasahau kuwa mke na mume ni mwili mmoja sasa ni mwili gani ambao kila hela Ina mtu wake

lijitu linakua libinafsi .... shenzi kabisa
 
Back
Top Bottom