KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana, mtu uko kwenye daladala afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la DSM.
Wengine miwigi inanuka sana kwakweli mnaboa sana. Hapa nimekaa na mdada mmoja kwanza mnene ananibana sana afu akijigeuza geuza na minywele yake inaniwasha, alafu anajishebudua mpaka kero.
Badilikeni
Wengine miwigi inanuka sana kwakweli mnaboa sana. Hapa nimekaa na mdada mmoja kwanza mnene ananibana sana afu akijigeuza geuza na minywele yake inaniwasha, alafu anajishebudua mpaka kero.
Badilikeni