Wanawake na nywele zenu za bandia mnaudhi

Wanawake na nywele zenu za bandia mnaudhi

Namshukuru Muumba mana nimejaliwa nywele ndefu hadi mgongoni.Hayo ya kuweka sijajaribu tangu kuzaliwa.
Mkuu King's daughter hebu nitoe ushamba,hivi nywele hizi za ki-africa za kipilipili zinaweza kurefuka mpaka mgongoni!!? Au umeziweka zile sumu za kuua uhai wa nywele ili zirefuke???
 
Last edited by a moderator:
Tatizo manywele yao ya bandia yananuka.. unapoyaacha mpaka yanavunda na kunuka ndo kero inapoanza

(kwa waliyo nayo tu kama una usitoe povu)
 
Ila kwakwel nywele bandia zisipokua managed vizuri zinaboa sana.
Zikilowana.ndo.shida zinanukaje jmn.
Afu wengine kukaa nazo muda mrefu zinawasha ngoja.siku atoke funza huko.ndo watajua!
Nawaombea vichwa visioze tu

Sasa mbona siri za dem wako unazianika humu.
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake.nywele ni ID ya mtu kimataifa, tunawatambua wachina, wakorea, wajapan, wascandinavia, philipine and more others just bcoz of hairs.wakiafrica ni very stupid.wanaiga wig analovaa lihana, wakat yeye huvaa akiwa azn sawasawa na mcheza ngoma kuvaa manyoya.ona dancers wa kike,ver stupid,uchi kabsa? live my words, every woman i call stupid.

including ur mom???!
 
Mimi mpaka sasa namjua mmoja tu amabaye sijaona kitu "fake" kwake..si kucha, si nyweke, si nyusi, si maziwa, si mzigo-nyuma...yaani ye kila kitu alichonacho ni real....hata kama namuona kwa picha tu!!!

Hongera zako mkuu! Fanya umiliki mzigo huo mkuu.
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake.nywele ni ID ya mtu kimataifa, tunawatambua wachina, wakorea, wajapan, wascandinavia, philipine and more others just bcoz of hairs.wakiafrica ni very stupid.wanaiga wig analovaa lihana, wakat yeye huvaa akiwa azn sawasawa na mcheza ngoma kuvaa manyoya.ona dancers wa kike,ver stupid,uchi kabsa? live my words, every woman i call stupid.

Not all all mkuu some of them wanajitambua hawa marimbukeni na wasiojiamini na jinsi walivyoubwa.
 
Kuna mambo mengine bhana mtalalamika mpaka mchoke!!! Labda muandamane
Dawa yenu ni kuwakung'uta vikumbo, naniliiii... Inatema vikwapa minywele jamani...zaidi minywele mirasta ya buku migumu km style wire ikimgusa mtu inawasha mnanini nyie.
 
nyooo mbona nyie p.u.m.b.u zenu zinanuka hatusemi?msituchoshee,km nimekukera nyoosha barabara ya kushoto
 
Jamani mimi hizo mnazoziona ni zangu mwenyewe, namshukuru Mungu kwa kunipa minywele.
 
Jamani mimi hizo mnazoziona ni zangu mwenyewe, namshukuru Mungu kwa kunipa minywele.

Hongera...mwanamke akiwa na mijinywele asilia huwa awa mrembo sana!!!
 
Dawa yenu ni kuwakung'uta vikumbo, naniliiii... Inatema vikwapa minywele jamani...zaidi minywele mirasta ya buku migumu km style wire ikimgusa mtu inawasha mnanini nyie.

Naomba nikusaidie kitu mkuu,
Ukiamua kuanzisha topic you don't need to go into mipasho.
Just arrange your points, onyesha facts zako then argue reasonably.

Mf. eti unasema mirasta ya buku!! Inahusu nini sasa? Au wenye rasta za bei ghali pekee ndo wanaruhusiwa kujiachia na hiyo minywele?
Mara minywele ya kwapani....duh na kwenyewe siku hizi wanabandika ya bandia?? Hivi ushafanya research ukaona ni kina nani wanaongoza kwa kufuga minywele ya kwapa na kutoa harufu ya jasho? Ushawahi kutana na wadada wangapi wenye harufu ya kibeberu?

Anyways....mi mgeni hapa nilipita tu kutoa tongotongo! But angalia usije kupoteza mantiki ya uzi!
 
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana, mtu uko kwenye dalax2 afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la DSM.

Wengine miwigi inanuka sana kwakweli mnaboa sana. Hapa nimekaa na mdada mmoja kwanza mnene ananibana sana afu akijigeuza geuza na minywele yake inaniwasha, alafu anajishebudua mpaka kero.

Badilikeni
Huwezi kumtenganisha mwanamke na urembo
 
Back
Top Bottom