Wanawake na nywele zenu za bandia mnaudhi

Wanawake na nywele zenu za bandia mnaudhi

hayo madude yanatoaga uvundo mpaka basi na bado mtu anatingishwa kichwa tu bora muanze kubadilika.....kwa nini usiwe na nywele zako halisi tu kwani tatizo ni nini
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Mwingine utakuta kayasasambua kichwa kizima, ye mwenyeww mweusi tiiii. Muwe mnajitathmin kwamba maana hakika yanakera
 
Ila kwakwel nywele bandia zisipokua managed vizuri zinaboa sana.
Zikilowana.ndo.shida zinanukaje jmn.
Afu wengine kukaa nazo muda mrefu zinawasha ngoja.siku atoke funza huko.ndo watajua!
Nawaombea vichwa visioze tu
 
msaada jamani nataka upload picha zinagoma
 
kazi ipo na bado tunaendelea kupendeza kwa hizohizo rasta hutaki tafuta usafiri binafsi usiboreke bro
 
Simpendi dem anae vaa wig napenda orgnal hata awe kipara
 
Anayempenda ndiyo kamruhusu aweke hayo manywele!! Kama huyapendi unapita kushoto then maisha yanasonga....!! Unadhani wanawake wote wakifuata huu ushauri wako, huku mijini tutajionea warembo eeeh??

Hujaona joto na watu wanapiga makoti kama kawa sembuse manywele.......!!!
amnunulie na gari aswanukie watu daladalani
 
Ndiyo maana wakoloni wakija huku huwa hawakosi kupiga picha, maana bado wanaAmini Amazing thing and tourism si lazima polini hata mijini kuna free tour, ndiyo hiyo midubwasha wanayovaa hao wana wa kike.

Hebu shangaa kidogo, wadada wangapi wa kiafrika uliwahi kuwaona wakiwa na mkoloni ukihisi ni mpenzi wake na kichwani amevaa hilo dubwasha?
Mara nyingi ukikuta ni mpenzi wake basi cha pili ni kutoa takataka za kichwani.

>Neno mkoloni ni hao jamaa waliotutawala. (Mzungu)
 
kazi ipo na bado tunaendelea kupendeza kwa hizohizo rasta hutaki tafuta usafiri binafsi usiboreke bro

Kama hauziki utajitembeza tuuh mdada wengine tunaangalia natural beaut...!
 
Mi sina la kusema maana dini yangu hairuhusu hili...........
 
Namshukuru Muumba mana nimejaliwa nywele ndefu hadi mgongoni.Hayo ya kuweka sijajaribu tangu kuzaliwa.
 
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana, mtu uko kwenye dalax2 afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la DSM.

Wengine miwigi inanuka sana kwakweli mnaboa sana. Hapa nimekaa na mdada mmoja kwanza mnene ananibana sana afu akijigeuza geuza na minywele yake inaniwasha, alafu anajishebudua mpaka kero.

Badilikeni

Mimi mpaka sasa namjua mmoja tu amabaye sijaona kitu "fake" kwake..si kucha, si nyweke, si nyusi, si maziwa, si mzigo-nyuma...yaani ye kila kitu alichonacho ni real....hata kama namuona kwa picha tu!!!
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake.nywele ni ID ya mtu kimataifa, tunawatambua wachina, wakorea, wajapan, wascandinavia, philipine and more others just bcoz of hairs.wakiafrica ni very stupid.wanaiga wig analovaa lihana, wakat yeye huvaa akiwa azn sawasawa na mcheza ngoma kuvaa manyoya.ona dancers wa kike,ver stupid,uchi kabsa? live my words, every woman i call stupid.
 
Back
Top Bottom