KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
halafu anazitikisa kama wanavofanya wazungu, hahaa haa
aheri mimi pritty wa Joseph sipo related na hayo makitu
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana! Mtu uko kwenye dalax2 afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la dsm! Wengine imiwig inanuka kishenzi kiukweli mnaboa sana. Hapa nimekaa na mdada mmoja kwanza mnene ananibana sana afu lijigeuza geuza na minywele yake inaniwasha..! Afu linajishebudua hilo mpaka kero.BADIRIKENI.
All in all ndizo zinawafanya wanapendeza na tukawabandika kivumishi cha 'urembo'!
Its just the matter of fashion brother, kama kavaa ndivyo sivyo si mbaya kama ukihusika kuweka mambo 'muswano' !!
This is a historical phenomena, wala usiboreke!
Anayempenda ndiyo kamruhusu aweke hayo manywele!! Kama huyapendi unapita kushoto then maisha yanasonga....!! Unadhani wanawake wote wakifuata huu ushauri wako, huku mijini tutajionea warembo eeeh??
Hujaona joto na watu wanapiga makoti kama kawa sembuse manywele.......!!!
Akayafunike akifika huko akamfunulie wengine hatumindish ujinga.
hahaaaaaaa
wagharamiani nyie halafu saa hizi unatupigia makelele hapa...
Mnapendeza wapiii? Shida kubwa ni kutojua jinsi ya kuyamanage mtu huna ata bajaj afu unasuka mirasta mirefu ambayo ata nyuma hujui imeishia wapi hauishii hapo unajishebedua kugeuzageuza bichwa mara huku mara kule.
Hivi wakuu kunako six by six hayo manywele ya bandia hayatoki mi sijawahi kukutana na wwenye nazo