MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Huwezi kumtenganisha mwanamke na urembohayo madude yanatoaga uvundo mpaka basi na bado mtu anatingishwa kichwa tu bora muanze kubadilika.....kwa nini usiwe na nywele zako halisi tu kwani tatizo ni nini
Ndiyo maana wakoloni wakija huku huwa hawakosi kupiga picha, maana bado wanaAmini Amazing thing and tourism si lazima polini hata mijini kuna free tour, ndiyo hiyo midubwasha wanayovaa hao wana wa kike.
Hebu shangaa kidogo, wadada wangapi wa kiafrika uliwahi kuwaona wakiwa na mkoloni ukihisi ni mpenzi wake na kichwani amevaa hilo dubwasha?
Mara nyingi ukikuta ni mpenzi wake basi cha pili ni kutoa takataka za kichwani.
>Neno mkoloni ni hao jamaa waliotutawala. (Mzungu)
Akili ni nywele kila mtu ana zake.nywele ni ID ya mtu kimataifa, tunawatambua wachina, wakorea, wajapan, wascandinavia, philipine and more others just bcoz of hairs.wakiafrica ni very stupid.wanaiga wig analovaa lihana, wakat yeye huvaa akiwa azn sawasawa na mcheza ngoma kuvaa manyoya.ona dancers wa kike,ver stupid,uchi kabsa? live my words, every woman i call stupid.
Jamani mimi hizo mnazoziona ni zangu mwenyewe, namshukuru Mungu kwa kunipa minywele.
Uko siliasi au unatania? Hizo siyo nywele zako...hiyo ni weaving au Lace front wig. Hapo kwenye avatar unaweza kuwa ni wewe lakini huko kichwani siyo wewe.
Karibu tuendelee.
Dawa yenu ni kuwakung'uta vikumbo, naniliiii... Inatema vikwapa minywele jamani...zaidi minywele mirasta ya buku migumu km style wire ikimgusa mtu inawasha mnanini nyie.
MillionHairs hizi ni zangu, yaani ungejua mawigi siyapendi hata kidogo, mimi ni mchanganyiko wa mataifa 3.
Siyo kweli,na ninakataa kwa herufi kubwa...huyo unaweza kuwa ni wewe lakini huko kichwani siyo wewe.
Karibu tuendelee.
Inamaana hujawahi kuona watu kama mimi? Upo wapi siku tuonane uzione.
Siyo kuwaona tu...na nimeishi nao pia...hata kama nitakubari kuwa ni nywele yako basi ni lazima uliongezea some pcs za weaving. Nina uhakika ulienda Salon,wakakuongezea volume, na mwisho ukapigwa pasi ya mawimbi au ulifungwa Rolaz kubwa kubwa.
Yaani hapa nacheka mpaka basi! Wewe unakaa Dar.
Yes ninaishi Dar na ukipenda tuonane basi tutaonana tu...ila kama hautojari tupia moja ya picha yako nyingine hapa.
Ok, usingizi mwema.
Naomba nikusaidie kitu mkuu,
Ukiamua kuanzisha topic you don't need to go into mipasho.
Just arrange your points, onyesha facts zako then argue reasonably.
Mf. eti unasema mirasta ya buku!! Inahusu nini sasa? Au wenye rasta za bei ghali pekee ndo wanaruhusiwa kujiachia na hiyo minywele?
Mara minywele ya kwapani....duh na kwenyewe siku hizi wanabandika ya bandia?? Hivi ushafanya research ukaona ni kina nani wanaongoza kwa kufuga minywele ya kwapa na kutoa harufu ya jasho? Ushawahi kutana na wadada wangapi wenye harufu ya kibeberu?
Anyways....mi mgeni hapa nilipita tu kutoa tongotongo! But angalia usije kupoteza mantiki ya uzi!
Nakubaliana nawe SiimaK, japo MillionHairs ni mtaalamu wa mambo ya nywele na urembo..siwezi kum'bishia. Kuna mdada mmoja namfahamu, nadhani ana damu ya kihindi, kiarabu na kiswahili....wallah hutamani kuacha kuzishika nywele zake...! Zipo hivyo kama ilivyo avatar yako..sweet sana!!
Yanakera usipozingatia vigezoHakika yanakera!