Wanawake na promise zao

Wanawake na promise zao

Barn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
2,734
Reaction score
4,042
Appointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mungu anawaona !!
 
hapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
 
Umeshaanza kunikera asubuhi asubuhi, hivi kwenye jambo kama hili lisilo na Kichwa wala miguu, unapata wapi Ujasiri wa kukitaja Jina la MUNGU?.
 
Daaah kumbe na huko ni hivo hivo nilidhani nafanyiwa hayo mimi tu kwa makusudi.
 
Alafu hapo unakuta umejikoki kinoma kama geto usafi umepiga wa kufa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]....

Kwali wanaume tumeumbwa mateso [emoji445]
Umeandaa na misosi plus wine
 
hapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wengine ukisema upo kwenye gari tunakusubiri stand
 
Umeshaanza kunikera asubuhi asubuhi, hivi kwenye jambo kama hili lisilo na Kichwa wala miguu, unapata wapi Ujasiri wa kukitaja Jina la MUNGU?.
Samahan mkuu
 
Appointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mungu anawaona !!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwa sipendi huu ujinga, yaani huwa napenda mtu anaejua kutumia muda wake vyema.

Dada unatumia masaa 9 kama Shunie ☺️☺️☺️
 
Kwani kiuhalisia huwa hakuna dharura?

Pia inatakiwa muamini kila jambo huwa lina wakati wake na ukishaona jambo lina vikwazo jua kabisa si wakati wake huo.
 
kuna siku nilishawai pewa hizo maneno ikanibid ninunue msosi wa familia nzima lakin bado mambo yakawa bila bila. "ni bora kwenda kimboka tu biashara chap chap na hakuna kujuana".......haya siyo mawazo yangu lakini.......
 
Huwa sipendi huu ujinga, yaani huwa napenda mtu anaejua kutumia muda wake vyema.

Dada unatumia masaa 9 kama Shunie [emoji5][emoji5][emoji5]
Hapo mm hua simtafuti tena
 
Kwani kiuhalisia huwa hakuna dharura?

Pia inatakiwa muamini kila jambo huwa lina wakati wake na ukishaona jambo lina vikwazo jua kabisa si wakati wake huo jamaani.
Mimi nilivo bora uniambie ukweli kua barn siwezi kuja au kwa sasa bado siko tayari kiroho safi tu naridhika ila sio unidanganye
 
Alafu hapo unakuta umejikoki kinoma kama geto usafi umepiga wa kufa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]....

Kwali wanaume tumeumbwa mateso [emoji445]
Hahaaaaa. Ila anakuwa amesaidia usafi umefanyika rafiki.

Sababi bila yeye pangeendelea kubakia na uchafu wake. Teh.
 
Hahaaaaa. Ila anakuwa amesaidi usafi umefanyika rafiki.

Sababi bila yeye pangeendelea kubakia na uchafu wake. Teh.
Nikweli lakini vijana maandalizi yao huwa makubwa sana unakuta na gharama kishaingia kununua baadhi ya mahitaji kwaajiri ya ujio wa mtoto...
 
Back
Top Bottom