Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wengine ukisema upo kwenye gari tunakusubiri standhapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Appointment
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mungu anawaona !!
Tabu tupuUmeandaa na misosi plus wine
Mimi nilivo bora uniambie ukweli kua barn siwezi kuja au kwa sasa bado siko tayari kiroho safi tu naridhika ila sio unidanganyeKwani kiuhalisia huwa hakuna dharura?
Pia inatakiwa muamini kila jambo huwa lina wakati wake na ukishaona jambo lina vikwazo jua kabisa si wakati wake huo jamaani.
Hahaaaaa. Ila anakuwa amesaidia usafi umefanyika rafiki.Alafu hapo unakuta umejikoki kinoma kama geto usafi umepiga wa kufa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]....
Kwali wanaume tumeumbwa mateso [emoji445]
Sasa kwani muda huo anaojiandaa huwa dharura imeshatokea Mkuu?Mimi nilivo bora uniambie ukweli kua barn siwezi kuja au kwa sasa bado siko tayari kiroho safi tu naridhika ila sio unidanganye
Nikweli lakini vijana maandalizi yao huwa makubwa sana unakuta na gharama kishaingia kununua baadhi ya mahitaji kwaajiri ya ujio wa mtoto...Hahaaaaa. Ila anakuwa amesaidi usafi umefanyika rafiki.
Sababi bila yeye pangeendelea kubakia na uchafu wake. Teh.