Wanawake na promise zao

Wanawake na promise zao

Ukiona hivyo ujue wewe ni bahili ndiyo maana anaona hakuna hasara hata akihairisha...

Ukiwa ni mtu wa kujiongeza, na huduma za hapa na pale, message utakazopata ni nipo getini kwako hapa, nilikua napita nimeona nije kukusalimia...

Cc: mahondaw
Hahahaha umetisha mkuu
 
hapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hapo anakutana na mtu kama mimi nimelala zangu nyumbani namwambia nishafika akienda namwambia nimekusubiri hadi nimechoka
asipokuja hizo lawama zake(nipo njema fani hii)
Mkuu hatari hii [emoji3]
 
Akishazingua huwa napiga simu, asipopokea naifuta tu namba yake naangalia mambo mengine, sitakagi stress ila price atakayokuja kuilipa hatakaa aamini ka ni mimi kweli.
 
Ukiona hivyo ujue wewe ni bahili ndiyo maana anaona hakuna hasara hata akihairisha...

Ukiwa ni mtu wa kujiongeza, na huduma za hapa na pale, message utakazopata ni nipo getini kwako hapa, nilikua napita nimeona nije kukusalimia...

Cc: mahondaw
Nakataa kwa herufi kubwa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nimejikuta nacheka kijerumani
 
Back
Top Bottom