Wanawake na Simu Za Mkononi

Wanawake na Simu Za Mkononi

ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu

spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,

wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha

nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
Erotica nani kakwambia kuweka simu kwenye manyonyo zina madhara hizo mdada.
Ila jamani home hatuvai jeans au nguo zenye mifuko tutaweka wapi?
mwisho itumbukie kwenye mafuta ya kukaangia ..
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nikiwa nyumbani hua sina tabia ya kuzunguka na simu kama robot especialy nikiwa busy hua naiacha sehemu then narudi kuicheck nikimaliza kazi..
 
Bazazi Dah, umenikumbusha mengi mno maana nimepigizana nae kelele hadi nimeamua kukaa kimya, yaani unaweza kuwa na issue urgent halafu simu haipokelewi, ole wangu sasa nimpigie kwa kutumia Simu ya Housegirl wewewwwwweeeee utajuta, jamani akina mama punguzeni kutunyanyasa
 
Last edited by a moderator:
ole wangu sasa nimpigie kwa kutumia Simu ya Housegirl wewewwwwweeeee utajuta, jamani akina mama punguzeni kutunyanyasa

Hapo sasa ndipo penye shida kuliko shida yenyewe!
 
Bazazi Dah, umenikumbusha mengi mno maana nimepigizana nae kelele hadi nimeamua kukaa kimya, yaani unaweza kuwa na issue urgent halafu simu haipokelewi, ole wangu sasa nimpigie kwa kutumia Simu ya Housegirl wewewwwwweeeee utajuta, jamani akina mama punguzeni kutunyanyasa

tobaaaaaaa unampigia kwa kutumia simu ya nani? Shauriyako...ninavyowajua wakinamam halahala usije mpotezea housegirl kazi yake....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa umenikumbusha ugomvi wa juzi, eti kisa tulikua tumekaa tunapata msosi jioni nikamtania housegirl uuuuuhhhhh yaani hata hamu yote ya chakula iliishia hapo, maana yaliibuliwa na mengine hata yametoka wapi sijui, kwa ufupi akina mama mnatunyanyasa sana na hawa ma-HG ambao wasipokuwepo ndio mnapiga kelele, wakipataikana kelele nyingine inaanza, aaaaaaghhrr
tobaaaaaaa unampigia kwa kutumia simu ya nani? Shauriyako...ninavyowajua wakinamam halahala usije mpotezea housegirl kazi yake....
 
Hahahaaaaa umenikumbusha ugomvi wa juzi, eti kisa tulikua tumekaa tunapata msosi jioni nikamtania housegirl uuuuuhhhhh yaani hata hamu yote ya chakula iliishia hapo, maana yaliibuliwa na mengine hata yametoka wapi sijui, kwa ufupi akina mama mnatunyanyasa sana na hawa ma-HG ambao wasipokuwepo ndio mnapiga kelele, wakipataikana kelele nyingine inaanza, aaaaaaghhrr

akhaaaa muache mamsap a-mark territory yake, mzaha mzaha hutumbua usaha......

Acha utani na hg, utampotezea kazi
 
yani wanawake tayari mshajitafutia na visababu hata ukiwa jikoni kwani simu haiwezi kukaa sehemu jikoni mkaisikia?


Ikikaa jikoni nikienda sebuleni kuandaa chakula naisahau jikoni, Wanawake tuna mambo mengi jamani, so simu huwa ya muhimu pale ninapoihitaji tu.
 
Wanawake mna matatizo gani na simu za mkononi? Kwanini mnazigeuza kuwa simu za mezani.

Hii haina cha mwanamke msomi na mbumbumbu, mfanyakazi na mkulima/mfanyabiashara, mbinti na mmama, mkurugenzi na mhudumu, waziri na mfagizi: Mradi ni mwanamke kwao simu ya mkononi ni ya mezani.

Ole wetu tuchelewe kupokea simu zao! Tunakutana na maswali mengi sana. Oh mara ulikuwa wapi hupokei simu, Oh ulikuwa na nani? Ni kasheshe iwe nyumbani-chumbani au katika nyumba za wageni au ufukweni. Ni full Kasheshe!

Lakini kwao simu ya mkononi ni ya mezani. Na hujitetea sana ukiwabana kwanini hawakupokea mapema.


Nauliza tena ni KWANINI KWAO SIMU YA MKONONI NI YA MEZANI?

Bazazi ni Bazazi!

majukumu ya kifamilia yametuzidia...mfano siezi kua napika na simu mkononi au nalisha mtoto na nk......so mjitaidi kuelewa eeeenh na sio kila nguo ninayovaa inakua na mifuko kama nyie wanaume una mfuko wa suruali,shat na n.k...so mwanamke kutokupokea simu kwa wakati z nt a big deal ila wewe mwanaume utanieleza vizuri why??
 
Kawaida mwanamke akiwa nyumbani vijishughuli huwa havi ishi sasa ni vigumu kuwa na simu muda wote, kama mie siku nashinda home najua ni siku yangu ya usafi wa general nyumba nzima haya hiyo simu utakuwa unataemeba nayo mgongoni, ukimaliza usafi uingie jikoni upike hadi jioni nikimaliza usafi na kupika ndio nakaa kujibu simu na msg nilizo kuta.

Hivyo kama ww ni mwanaume inabidi uwe mvumilivu kwa mkeo ukikuta nyumba chafu na hajakupikia utamsema na akikujibu alikuwa bize na simu unasemaje??? ..... kuwa mpole tu simu yako isipo pokelewa
 
Bazazi umenigusa kweli kweli, yaani nimeshalalamikiwa mpaka basi nikifika ofisini naiweka mezani kwangu, ikitokea nimetoka ofisini basi itakaa hapo mpaka nirudi, hadi kuna siku niliaga natok aofisi na mtu mmoja simu yangu nikaiacha kama kawa ilipigwa hadi wakaniambia nirudie simu coz kelele zimezidi.nikiwa nyumbani ndo kasheshe naweza nisijue nimeiweka wapi mpaka mtu anipigie ndo nisikilize mlio unatokea wapi. uzuri wangu missed call zote lazima nipige as najua mapungufu yangu ya kutobebana na simu kila dakika.


nadhani ni kutokuwa na mtu spesheli kama erotika alivyosema, nilishajifanyia uchunguzi nikiwa na soulfood simu haichezi mbali, ila nikiwepo tu bila mahusiano yoyote wanaonipigia imekula kwao, na simu inaweza kuishiwa charge nikaona poa tu kukaa nayo bila kiicharge hata siku mbili
 
wakina mama kweli mnakera,mwanaume nakupigia nataka nijue dailing umeshindaje simu yaita bila kupokelewa.
Napiga tena baada ya dakika tano,wangu laaziz nimemkumbuka nataka nimuulize,honey nikuletee maindi ya kuchoma au muogo mchemusho,simu yaita bila kupokelewa.
Baadae wanibeep,wakati jana usiku nilikupunguzia vocha ya elufu mbili usiku,je umeongea na nani darling?
Kisho nakununulia kamba,kamba ya kuninginiza simu shingo,hata ukienda msalani usiiche nyuma,nimechoka kupiga simu bila kupokelewa.
 
Back
Top Bottom