FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Erotica nani kakwambia kuweka simu kwenye manyonyo zina madhara hizo mdada.ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu
spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,
wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha
nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
Ila jamani home hatuvai jeans au nguo zenye mifuko tutaweka wapi?
mwisho itumbukie kwenye mafuta ya kukaangia ..
Last edited by a moderator: