Wanawake na Vyakula Ghali

Wanawake na Vyakula Ghali

EBBAH

Member
Joined
May 8, 2017
Posts
75
Reaction score
74
Habari wana familia..Niende kwenye JIPU MOJA KWA MOJA.

KUNA KATABIA Nimejaribu kukachunguza cha wanawake wengi pale wanapoalikwa "DATE" na wanaume huwa inapokuja muda wa CHAKULA wanawake hupenda kuagiza vyakula vilivyo ghali zaidi..hali yakuwa hata wao wakati mwingine hawawezi kulipia hiyo bill [emoji3].

TAHARUKI huja pale mwanaume mfuko wake unapokuwa mfupi inampelekea atumie mpaka nauli kwa ajili ya kuweka mambo sawa.Lakini kinyume chake mwanaume akialikwa na Mwanamke huwa anakula chakula cheap kiasi chake kiasi kwamba hamfanyi mwenza wake kuona uzito.

Sasa Sijui ni kuwakomoa Wanaume ili iwe fundisho maana anaweza pewa machaguo.."kuna samaki perege,kibua,sangara na Sato" hapo usitegemee aseme lete "kibua" .....[emoji4]

Wewe unaonaje hapo?..Tatizo ni kuwa wana hamu sana na vyakula hivyo ila tatizo mfuko au ni utaratibu tu ulio rasmi kuwa wakiitwa date lazima wapasue waleti za Wanaume???
 
Hahaha
Ukiona ivo ujue hua hiyo huduma ya ghali hawapati kitaa mpk dating etc so wanatumia fursa

BTW, ukiona mfuko mdogo na umewajua haisumbui tafuta kiwanja ambapo gharama yaendana na uwezo wako badala kwenda kwwnye zege la 15000 mnaenda kwenye zege la 2000 ujazo pomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATA UKIENDA HUKO VIBANDA POA..BUT Utakuta tu mwisho wa siku yeye ndio kala ghali zaidi yako..[emoji4] Unless u decided to dictate what u should eat without giving her a room to choose from the available menu.
 
Back
Top Bottom