EBBAH
Member
- May 8, 2017
- 75
- 74
Habari wana familia..Niende kwenye JIPU MOJA KWA MOJA.
KUNA KATABIA Nimejaribu kukachunguza cha wanawake wengi pale wanapoalikwa "DATE" na wanaume huwa inapokuja muda wa CHAKULA wanawake hupenda kuagiza vyakula vilivyo ghali zaidi..hali yakuwa hata wao wakati mwingine hawawezi kulipia hiyo bill [emoji3].
TAHARUKI huja pale mwanaume mfuko wake unapokuwa mfupi inampelekea atumie mpaka nauli kwa ajili ya kuweka mambo sawa.Lakini kinyume chake mwanaume akialikwa na Mwanamke huwa anakula chakula cheap kiasi chake kiasi kwamba hamfanyi mwenza wake kuona uzito.
Sasa Sijui ni kuwakomoa Wanaume ili iwe fundisho maana anaweza pewa machaguo.."kuna samaki perege,kibua,sangara na Sato" hapo usitegemee aseme lete "kibua" .....[emoji4]
Wewe unaonaje hapo?..Tatizo ni kuwa wana hamu sana na vyakula hivyo ila tatizo mfuko au ni utaratibu tu ulio rasmi kuwa wakiitwa date lazima wapasue waleti za Wanaume???