Una maanisha atakuwa tayari akuone na mwingine na roho isimuume?Una dhani siku hizi wote wanajali tena hilo,hata kama mtu anajua wapo wengine wengi yeye ana angalia maslahi yake,vinginevyo ingekuwa hivyo sidhani kama kungekuwa hata na nyumba ndogo.
kiasi kikubwa!!
duh, mi nataka anayepika
unajua kupika nikuunge kwente tela?
Tatizo ni wanadam ni kuwa hatukufundishwa namna ya kutatua tatizo,hasa nyie wanawake,ninaposema hivi ninamaana kuwa tatizo linapotokea huwa hamkubali kuwa ni kweli lipo na linasababishwa na globolaizesheni,mtu anaposema wanawake wa leo wanapenda hayo mambo aliyosema mtoa mada halafu wanawake wote wanakuja kupinga kisa wao ni wanawake mnakua mnaongeza tatizo badala ya kutafuta tiba,ni sawa na watu wanapiga kelele kuwalaumu waingereza kwa kutulazimisha kuhalalisha ushoga kisheria wakati mtaani kwake wamejaa na amekubali kwani amekaa kimya!
Asilimia kubwa hiyo ni kubwa kiasi gani?
duh, mi nataka anayepika
unajua kupika nikuunge kwente tela?
Hakuna anayepinga kwa sababu ni mwanamke, utafiti mnaoufanyia kwa wasichana na wanafunzi wa vyuo ndo mnakuja kuconclude kuwa ni wanawake wengi?? Btw, mwenzako akinyolewa.....................?????