Tatizo ni wanadam ni kuwa hatukufundishwa namna ya kutatua tatizo,hasa nyie wanawake,ninaposema hivi ninamaana kuwa tatizo linapotokea huwa hamkubali kuwa ni kweli lipo na linasababishwa na globolaizesheni,mtu anaposema wanawake wa leo wanapenda hayo mambo aliyosema mtoa mada halafu wanawake wote wanakuja kupinga kisa wao ni wanawake mnakua mnaongeza tatizo badala ya kutafuta tiba,ni sawa na watu wanapiga kelele kuwalaumu waingereza kwa kutulazimisha kuhalalisha ushoga kisheria wakati mtaani kwake wamejaa na amekubali kwani amekaa kimya!