kuna dada mmoja anasoma chuo kikuu 2po nae mtaa mmoja kwa yeye kama huna gari hana tym na ww kwa sasa anao kama watatu na wte wana magari.
At early 20s huwa hawaoni but subiri akifika 30s ndo anajuta.hata life span yake lazima itakuwa inashuka..siku hadi siku..
98% :lol:
Tatizo ni wanadam ni kuwa hatukufundishwa namna ya kutatua tatizo,hasa nyie wanawake,ninaposema hivi ninamaana kuwa tatizo linapotokea huwa hamkubali kuwa ni kweli lipo na linasababishwa na globolaizesheni,mtu anaposema wanawake wa leo wanapenda hayo mambo aliyosema mtoa mada halafu wanawake wote wanakuja kupinga kisa wao ni wanawake mnakua mnaongeza tatizo badala ya kutafuta tiba,ni sawa na watu wanapiga kelele kuwalaumu waingereza kwa kutulazimisha kuhalalisha ushoga kisheria wakati mtaani kwake wamejaa na amekubali kwani amekaa kimya!
Kipipi,yes,ukweli ni huo mnabisha kwa sababu ya jinsia na ndo mlivyo,pia hapa suala sio mwanamke wala msichana suala hapa ni malezi,hautaweza kujua hili mpaka uwe muathirika,as long as wewe ni mtendaji huwezi kuuona ukweli!
magari na malezi yamehusianaje? Kwamba ukilelewa kwenye familia kila mmoja anadrive lake na wewe utakuwa mpenda magari au?
sasa kama sio kweli tukubali tu? Gari lako mi nilipendee nini?
hebu elezea vizuri hapo mwanafunzi nielewe. Elezea kwa mifano plz.,kupenda magari ni moja ya tabia zinazotokana na malezi!
Aisee mnafurahisha nyie!
Wanaoshobokea Mikwanja na Mikoko ni WASHAMBA TUU.... WAVIVU
Malezi ndo yanamfanya mtu awe kama alivyo kwa maana ya mitazamo na namna anavyoyana maisha na jinsi unavyowasiliana na mazingira yako,kupenda magari ni moja ya tabia zinazotokana na malezi!
wewe mpishi tu hoi..
umeona eeh! Tena wavivu wa fikra zaidi.
hebu elezea vizuri hapo mwanafunzi nielewe. Elezea kwa mifano plz.
Kati ya wanawake kumi, saba wanapenda hizo sifa!!
Kutoka kwa wanawake niliokutana nao pamoja na wanawake wanaokutana na jamaa zangu na wanawake wanaonizunguka katika jamii ninayo ishi. Kama unataka kupata uhakika zaidi, waulize wanaume wenye hizo sifa utapata jibu.How did you measure this percentage?