Nasema wanawake, hao wasichana wanaanza kwanza kuhadaika na pesa mbuzi wakisha komaa ndo wanasogea kwenye hiyo hatua nyingine!!Ni asilimia ngapi hizo? Na je ni wasichana au ni wanawake? Nahsi ktk utafiti wako asilimia kubwa ni wasichana wenye umri wa miaka 18 hadi 22 na weng ni wanafunz wa vyuo ndo umewafanyia utafiti.
Unachotakiwa kujua ni kuwa wengine ni wanawake/wadada ambao hatuna fikra kama hizo tunajua maana ya ndoa ni nini, na tunafanya kazi na tuna uwezo wa kumiliki gari nzuri ya kutembelea na nyumba nzuri za kuishi
kivipi?
Kutoka kwa wanawake niliokutana nao pamoja na wanawake wanaokutana na jamaa zangu na wanawake wanaonizunguka katika jamii ninayo ishi. Kama unataka kupata uhakika zaidi, waulize wanaume wenye hizo sifa utapata jibu.
Kipipi usipinge kwa kuwa wewe ni mwanamke ebu angalia rafiki zako wa kike wanaokuzunguka, angalia kwa jicho la kutaka kujua kweli!!Hakuna anayepinga kwa sababu ni mwanamke, utafiti mnaoufanyia kwa wasichana na wanafunzi wa vyuo ndo mnakuja kuconclude kuwa ni wanawake wengi?? Btw, mwenzako akinyolewa.....................?????
Mnajidai hamtaki ngawira wakati mnazimezea mate mbaya!Mfano mdogo nenda Love Conect,angalia thread za wanawake wanaotafuta wachumba moja ya vigezo vyao ni kuwa mwanaume wanaemtaka lazima awe na kazi,sisi mabalanjuna tusio na kazi sijui tutamuoa nani!
no research no right to speak
Du inabid kamkweche kangu kapya nikafiche wakati namwaga sera maana naweza nikamwagiwa mabusu kumbe yako dedicated kwenye motorvehicle licence
Kati ya wanawake kumi, saba wanapenda hizo sifa!!
Yes!Uko sawa kabisa!Kakifa tu huyoooo anatembea na Yuda iskarioti!
kazi=gari?
wewe una gari?
Kutoka kwa wanawake niliokutana nao pamoja na wanawake wanaokutana na jamaa zangu na wanawake wanaonizunguka katika jamii ninayo ishi. Kama unataka kupata uhakika zaidi, waulize wanaume wenye hizo sifa utapata jibu.
Kipipi usipinge kwa kuwa wewe ni mwanamke ebu angalia rafiki zako wa kike wanaokuzunguka, angalia kwa jicho la kutaka kujua kweli!!
Sina wala sijui kuliendesha wala sina kazi yoyote!
hatufikii kusema human bevavior kwa kuangalia majirani zako wanafanyaje.
Hiyo ni tetesi ulioiona ambayo unatakiwa kuifanyia research
Sasa?Kwani hujui hilo?
Asilimia kubwa hiyo ni kubwa kiasi gani?