Wanawake, nani alisema dera ni nguo ya heshima?

Ukiwa na nnya ukivaa dera unapendeza sana

Ova
 
Dera ni nguo ya kuendea sokoni, mazishini, shughulini, kibaokata, bongo fleva na bongo movie na si vazi la heshima.
 


Na siku hizi wamegundua hawazai chupi, analishkilia flani ivi, kama alikua ameketi akiinuka lazima "aamulie"

sema kwa mwanamke ambaye hana "mzigo" huwa hawapendezi....

Halafu kwa mwanamke anayevaa dela anaonekana ni mnafiki/ mzandiki/ mmbea/ maji mara-1/ mpashkuna/ malaya flan ivi..

yani kiufupi lina tafsiri mbaya(mtazamo wangu)
 
mambo ya dera mzigo unapewa popote pale.. dera linavutwa tuu juuu... hatari sanaaaaaa
 
Nguo za heshima ni gwanda na suti, unadhani dela linaumiza kichwa?
 
kumbukeni kuna ile sheria inayohusu shambulio la aibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…