Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Kuhusu dera eh we unaonajenimejisikia tu kukuita sina cha kusema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu dera eh we unaonajenimejisikia tu kukuita sina cha kusema
sijasoma mada hataKuhusu dera eh we unaonaje
sijasoma mada hata
Dera ni nguo ya kuendea sokoni, mazishini, shughulini, kibaokata, bongo fleva na bongo movie na si vazi la heshima.
Habarini za weekend ndugu zangu na polen na maisha ya Tanzania.
Back to the topic, naomba kujuzwa hivi kwanini nguo aina za madera ambayo huvaliwa na wakina mama au wakina dada yamechukuliwa kama nguo ya heshima?
View attachment 821789
Utakuta mmama mtu mzima tena mungu kamjaalia mashallah kavaa dera then huo "mvumo wa radi" anaoachia huko nyuma ni balaa.
View attachment 821790
Nimeona hii mara nyingi mpaka najiuliza kwanini iwe hivi. Hizi nguo kiasili yake ni nyepesi na kwa namna wanavyozivaa hadithi zinakuwa zingne sana mtaani.
Vikohozi haviwezi kuisha kabisa. Nadhani kwa muda huu kuna wakina dada wa JF wamevaa dera. Hebu tuambie; kwanini mnazipenda ilhali haziwapi stara mnayotarajia?
nilimiss uwepo wako tu leo si unakumbuka siku ilivyoenda leoKwa nn umenitag sasa
nilimiss uwepo wako tu leo si unakumbuka siku ilivyoenda leo
Dera huwa zinachola mzigo kinyama yn kuliko hata suruari
Wanasema kuvaa dera sio kazi kazi ni kilishikilia.
Hahahaha hamna kitu hahaha fanya squats utapata kajimsambwanda.Inategemea kwa sie wenye shepu za kihindi hakionekani kitu kwenye dera [emoji13]
Hahahaha hamna kitu hahaha fanya squats utapata kajimsambwanda.
Sihitaji msambwanda najipenda nilivo