LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,157
- 1,681
Habari za mapumziko Wana MMU.
Nachosema nikwamba kuna tabia ambayo inajitokeza kwa wanawake mala mahusiano yanapovunjika nazungumza hivi kwa kua nimeshudia hii kitu kwa rafiki zangu kadhaa na mimi pia vivyo hivyo.
Tabia yenyewe ni hii ,hapa nitajizungumzia mimi. Niliwahi kua na manzi mmoja kimapenzi hakika niseme ndye ke naweza kusema wa kwanza maana ndyo nilikua nimetoka kijijini na kuja kwenye jiji la Mecksedick ( sijui kama jina nimelipatia la mkuu huyo) kipindi hicho nilipata kibarua nakuanza maisha nikiwa na mahusiano na huyo bibie ambaye alinogewa na show ya kibabe niliyokua nikimuonyesha aliamua kuhamia kwangu ili nimchakate kisawasawa.
Niseme kua huyu manzi tulikua tunaweza shinda ndani siku nzima yeye na gauni tu jepesi mimi bukta na kaushi tu kila tukitizamana mlipuko ,kifupi alikili bila shuruti kua katika maisha yake hakuwahi kukutana na mtu mwenye nguvu na uwezo wa kubanjua kama mimi,lakini badae tulishindwana tabia nikamuacha ila ajabu aliniambia kua sijui kufanya mapenzi na hapo mwanzo nimesema hyo kitu hata rafiki zangu wameshaambiwa na wapenzi wao hivyo kua hawajui kitu baada ya kuachana.
Nikirudi kwenye huo mkasa wangu baada ya miezi kadhaa manzi alianza kuhangaika kutaka turudiane , baada ya huyo nika kamata toto nyingine nikatulia nayo miaka 3 akalewa raha mpaka zikamkinahi maana naye mwendo ule ule wa kuchakata kama kawaida akajiondoa eti mapenzi sijui ila sasa anahangaika arudi nimemwambia sijui mapenzi anakasirika eti zilikua hasira ,sasa nachowambia wanawake mnapowatukana waume zenu eti hawajui kitu hakikisheni kesho hamtowahitaji tena.
Hitimisho kama wewe ni Me ishakutokea nyosha kidole juu na Ke tuambieni huwa mnakusudia kutuathili kisaikolojia au?