COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 681
- 618
Duh! Hatari ndugu KabangaSawa....
Duh! Hatari ndugu KabangaSawa....
Ukaenda kumgegeda tena?.Usijali mkuu hilo neno la kusema haujui kitu kitandani wanawake wengi wanatamkaga kwa hasira tu huwa hawamaanishi
Hiyo ishanitokea kuna demu baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu kuna vitu alivifanya vikanikera hivyo nikamwambia tuachane lakin kumbe yeye hakuwa tayari kuachana na mimi akawa ananibembeleza sana nisimwache
Kuna siku akanibamba bar nipo na mwanamke mwingine akataka kuja kuanzisha vurugu ikabidi nimchane mbele ya marafik zake kwanini anaforce kupendwa asipopendwa?..Aisee hapo ikawa nimeamsha majin yake akaanza kutoa maneno ya shombo ikiwemo na hilo la mimi kutojua mapenzi....Cha ajabu kesho yake akaniomba msamaha na kudai zilikua ni Hasira tu nikaenda kumgegeda tena 😛
Nimejifunza kitu hapa mkuu.Don't waste your time to understand a woman...
Sifa kuu ya mwanamke yoyote..
Baya moja hufuta mema au mazuri yote kwake...no matter umemlizisha Mara ngapi.
Hii hutokana na kuendeshwa na hisia zao kuliko akili zao ndomana kuna muda wakitulia na kufkiria (kutumia akili zao) ndo huanza kujuta...na kuomba msamaha.
Ili kuishi na wanawake vzuri ni kuishi nao kwa akili sana,tumia akili yako vzur mwanaume mwenzangu kuishi na hawa viumbe unless otherwise unaeza kujikuta unaua watu Kama sio kuchanganyikiwa.
Moja ya hali ya mwanaume kutumia akili dhiki ya mwanamke ni.
1- Kuwa Kama mwanaume juu yke kwamaana jitofautishe na yeye katka kila ktu.
2- Kwenye mapenz usitake umuhakikishie how good your are,wewe piga mzigo as much as u can.
3- jiamini usiruhusu mwanamke akuendeshe,mfno...sio kila muda ukimuona yy unataka tobo kuna muda jifanye Kama kupotezea hv...
4-msifie na mpende but usiruhusu ajione kwake umefika (huna kauli).
Hupendi kupelekewa moto wa kibabe?Mimi mwanaume akishaanza kujisifia sijui alimpa sijui anampa demu wake show ya kibabe namshusha credits kwa sbb haina haja kutuelezea.
Hahahah hio inaitwa verbal abuse!
Mwanamke hana nguvu za misuli laiti angekuwa nazo tungekuwa tunakula makonzi kila akijiskia...
Wao wamepewa nguvu katika ndimi zao, ili akuteke kihisia au akuumize basi atatumia kinywa chake kukuvuruga akili.
Kauli ya hivyo mara nyingi huwa ni hasira tu hasa tudemu tufupi tule ndio zao hizo. Anaropoka ili akuumize ukitilia maanani ndio umeisha.
Njoo kwangu tusipend usiku mzima,halafu tuone sasa.Hazijaisha halafu, zipo kama chemchem jinsi zinavyokamuliwa au kuchotwa zinazidi kutoka nyingine na nyingine na nyingine to infinity level.
Once in a while miaka hiyoooooo, kuna mtu alinyanyuka akavaa bukta yake akatundika tshirt begani akasema nikitoka hospitali ntakutafuta. Na kweli alipofika hospitali alitundikiwa dripu ya maji na glucose. Ila hakunitafuta teenaaa.
Ndo basi.
Kha!kha!,eti tudemu tufupi?.Off course huto ni tukorofi balaa.Hahahah hio inaitwa verbal abuse!
Mwanamke hana nguvu za misuli laiti angekuwa nazo tungekuwa tunakula makonzi kila akijiskia...
Wao wamepewa nguvu katika ndimi zao, ili akuteke kihisia au akuumize basi atatumia kinywa chake kukuvuruga akili.
Kauli ya hivyo mara nyingi huwa ni hasira tu hasa tudemu tufupi tule ndio zao hizo. Anaropoka ili akuumize ukitilia maanani ndio umeisha.
Mwongo.Kua kama chemchemi hii concept ina ukweli mkubwa sana mkuu.
Una bahati sana ya kufurahia unachokifanya.
Hiyo ya jamaa kusepa na bukta sina comment japo haishindikani pia.
twembaba tuna chuki ya kukosa ushawishi sokoni kisa hatuna tako,,,ni ving'ang'anizi balaa. Halafu huwa vilalamishi kichizi! Kila mkipishana utaskia "au kisa mie sina tako?"Hujakutana na tudemu twembamba wewe.. Vinahasira hivyo na kisasi usipime[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Njoo kwangu tusipend usiku mzima,halafu tuone sasa.