Sasa kama haujui mapenzi akusifu tu mkuu?
Sasa kama haujui mapenzi akusifu tu mkuu?
Upo mama?Nashuhudua hivi hivi upako nilioupata kanisani unaponyoka .......
Atiii unauwezo wakulisakata kabumbu siku nzima hulalamiki kuchoka au kushikwa na msuli au miguu kufa ganzi.....
Jamaniii weeweeee..... kwani ushawahi kukutana na kigagula anayeendesha farasi......
Mweeh mweeeh sambi sako mwenyewe mi hata sijasema ndio 🤩
Wewe leo tunza upako wa kanisani ,nitakulejea keshoNashuhudua hivi hivi upako nilioupata kanisani unaponyoka .......
Atiii unauwezo wakulisakata kabumbu siku nzima hulalamiki kuchoka au kushikwa na msuli au miguu kufa ganzi.....
Jamaniii weeweeee..... kwani ushawahi kukutana na kigagula anayeendesha farasi......
Mweeh mweeeh sambi sako mwenyewe mi hata sijasema ndio 🤩
Wewe leo tunza upako wa kanisani ,nitakulejea kesho
Nikweli mkuu hawa viumbe ni shida tupuUsijali mkuu hilo neno la kusema haujui kitu kitandani wanawake wengi wanatamkaga kwa hasira tu huwa hawamaanishi
Hiyo ishanitokea kuna demu baada ya kuwa nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu kuna vitu alivifanya vikanikera hivyo nikamwambia tuachane lakin kumbe yeye hakuwa tayari kuachana na mimi akawa ananibembeleza sana nisimwache
Kuna siku akanibamba bar nipo na mwanamke mwingine akataka kuja kuanzisha vurugu ikabidi nimchane mbele ya marafik zake kwanini anaforce kupendwa asipopendwa?..Aisee hapo ikawa nimeamsha majin yake akaanza kutoa maneno ya shombo ikiwemo na hilo la mimi kutojua mapenzi....Cha ajabu kesho yake akaniomba msamaha na kudai zilikua ni Hasira tu nikaenda kumgegeda tena 😛
Well said mkuuDon't waste your time to understand a woman...
Sifa kuu ya mwanamke yoyote..
Baya moja hufuta mema au mazuri yote kwake...no matter umemlizisha Mara ngapi.
Hii hutokana na kuendeshwa na hisia zao kuliko akili zao ndomana kuna muda wakitulia na kufkiria (kutumia akili zao) ndo huanza kujuta...na kuomba msamaha.
Ili kuishi na wanawake vzuri ni kuishi nao kwa akili sana,tumia akili yako vzur mwanaume mwenzangu kuishi na hawa viumbe unless otherwise unaeza kujikuta unaua watu Kama sio kuchanganyikiwa.
Moja ya hali ya mwanaume kutumia akili dhiki ya mwanamke ni.
1- Kuwa Kama mwanaume juu yke kwamaana jitofautishe na yeye katka kila ktu.
2- Kwenye mapenz usitake umuhakikishie how good your are,wewe piga mzigo as much as u can.
3- jiamini usiruhusu mwanamke akuendeshe,mfno...sio kila muda ukimuona yy unataka tobo kuna muda jifanye Kama kupotezea hv...
4-msifie na mpende but usiruhusu ajione kwake umefika (huna kauli).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mam kubwa jaman lol,Nashuhudua hivi hivi upako nilioupata kanisani unaponyoka .......
Atiii unauwezo wakulisakata kabumbu siku nzima hulalamiki kuchoka au kushikwa na msuli au miguu kufa ganzi.....
Jamaniii weeweeee..... kwani ushawahi kukutana na kigagula anayeendesha farasi......
Mweeh mweeeh sambi sako mwenyewe mi hata sijasema ndio [emoji2956]
Kasieeeeeee........... mhn......Nashuhudua hivi hivi upako nilioupata kanisani unaponyoka .......