Wanawake neno hili linaiharibu kesho yenu kimahusiano

Hahahah hio inaitwa verbal abuse!
Mwanamke hana nguvu za misuli laiti angekuwa nazo tungekuwa tunakula makonzi kila akijiskia...

Wao wamepewa nguvu katika ndimi zao, ili akuteke kihisia au akuumize basi atatumia kinywa chake kukuvuruga akili.

Kauli ya hivyo mara nyingi huwa ni hasira tu hasa tudemu tufupi tule ndio zao hizo. Anaropoka ili akuumize ukitilia maanani ndio umeisha.
 
Kua kama chemchemi hii concept ina ukweli mkubwa sana mkuu.
Una bahati sana ya kufurahia unachokifanya.

Hiyo ya jamaa kusepa na bukta sina comment japo haishindikani pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe nyokoo


Taanteeeeee

Kasie napiga yopeeee
Dadiii anapiga yopeee
Wanapiga chabo tukipiga yopee.....

Eeeh eeeh eeeh eeeeeeeehh
Eeeh eeeh eeeh eeeeeeeeeeehhhh.....

Kasie Platinum Dangote😜
 
Kua kama chemchemi hii concept ina ukweli mkubwa sana mkuu.
Una bahati sana ya kufurahia unachokifanya.

Hiyo ya jamaa kusepa na bukta sina comment japo haishindikani pia.
@Shupavu kuna wanawake wana nyege hatari, first time unaweza kuaibika, ukimjua mwanamke wa namna hiyo unapaswa kuwa hodari wa romance na uwe mtundu kupitiliza, vinginevyo utakojoa na mwenyewe hata robo hajafikia
Taanteeeeee

Kasie napiga yopeeee
Dadiii anapiga yopeee
Wanapiga chabo tukipiga yopee.....

Eeeh eeeh eeeh eeeeeeeehh
Eeeh eeeh eeeh eeeeeeeeeeehhhh.....

Kasie Platinum Dangote[emoji12]
 
@Shupavu kuna wanawake wana nyege hatari, first time unaweza kuaibika, ukimjua mwanamke wa namna hiyo unapaswa kuwa hodari wa romance na uwe mtundu kupitiliza, vinginevyo utakojoa na mwenyewe hata eono hajafikia


Umenena vyema kabisaa King.
 
@Shupavu kuna wanawake wana nyege hatari, first time unaweza kuaibika, ukimjua mwanamke wa namna hiyo unapaswa kuwa hodari wa romance na uwe mtundu kupitiliza, vinginevyo utakojoa na mwenyewe hata robo hajafikia
Kweli kabisa mkuu.
Vita mbinu, kabla hujamjua mpinzani vyema usikurupuke hata siku moja unaweza umbuka mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mam kubwa una nini wee? Khaaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taanteeeeee

Kasie napiga yopeeee
Dadiii anapiga yopeee
Wanapiga chabo tukipiga yopee.....

Eeeh eeeh eeeh eeeeeeeehh
Eeeh eeeh eeeh eeeeeeeeeeehhhh.....

Kasie Platinum Dangote[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeki mam kubwa wee ni kibokoooooh
 
ulikuwa unafanya kibarua wapi?
 

Siyo kwamba hujui mapenzi, ni kwamba huna hela. Mwanamke akitaka kukuacha issue ya kutokujua mapenzi hiyo ni geresha tuu, kama wallet inapasuka hata kama una kibamia bado atakusifu tu kuwa unajua kumfikisha.
Povu ruksa
 
Nakubali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…