Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Yale yale hapo dogo anaongelea kama umemuwacha mke wako, sio una mke na unaoa mwingine.

Hebu tafuta wano jua kizungu wakufahamishe dogo nini mana ya shall put away his wife.

Hayo mengine yote yanaongelea wewe na mke wako, na mke wa piki pia mke wako...Yani hakuna jipya.
 

Unatakiwa upanue horizon yako ya kufikiri,unafkiri put away ni physically tu?.na pia,bas tunakuomba utupe neno that Mungu anasema ni sawa kuwa na mke zaidi ya mmoja,in the new testament..asante..and i told you b4,change your tone,nani dogo?!.and kwanini huongelei kuhusu christ kusema kuwa mwili 1?au una miili mingap kaka?
 
Unatakiwa upanue horizon yako ya kufikiri,unafkiri put away ni physically tu?.na pia,bas tunakuomba utupe neno that Mungu anasema ni sawa kuwa na mke zaidi ya mmoja,in the new testament..asante..and i told you b4,change your tone,nani dogo?!
Hahaha wewe dogo kajifunze kusoma bible......
Yani hapo mnasutwa na bible jesus hajakatza mtu asiowe mke wa pili.
 

wewe umepinda kweli.Hata hiyo dini yako huijui au kama unaijua, na kweli inasema hivyo .........??? jaza mwenyewe!
 
Reactions: BAK
Aisay mungu huwa hapigi fumbo ili wengine wasifahamu, mungu gani huyo anayesema fumbo ili watu wasifahamu, we leta kitu kimeandikwa hivi; Mungu anakataza usiowe mke wa pili....Msilete story nyingi kama hakuna jibu kutoka kwenye bible.

Ona sasa!!! Unafikiri mafumbo ya vitabu vitakatifu ndo sawa na mafumbo ya uswahilini??
Mafumbo ktk vitabu hutumika kuelezea vitu vingi kwa maneno machache, na Viongozi wa dini hufundisha waumini kuelewa hiyo mistari kwa mapana zaid. Ndio maana mstari ukisomwa unafafanuliwa. We kijana vipi?

Nionyeshe basi waliposema RUKSA KUOA MKE ZAID YA MMOJA?
Na nimekwambia elezea mstari ". . . . na ikiwa nina imani yote kuweza kuhamisha milima, lakini sina upendo, mimi si kitu" - 1 Wakorintho 13:1-13 UNAUELEWAJE?

Nasubili majibu
cPu
 
Fazaa nimerudi na 1wakor.7:2 lakini kwa sbabu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake wake mwenyewe..hapa Biblia inaongelea ndo ya mke mmoja..
 
Aisay mimi naona wewe umetoa mpya, yani karibuni utatuwachia tule mke wako sio...Ama kweli 2012 ina mambo.

Aaaa mimi bora nibakie na maendeleo ya miaka ilio pitwa na wakati, mke wangu hagusi mwanaume yoyote.

Watu wenye mawazo na matendo kama yako shetani anawapenda sana.

Nimesoma ulichoandika ...... naona una tatizo wewe na unahitaji msaada wa kifikra.Msome BAK vizuri utabaini.
 
Reactions: BAK
wewe umepinda kweli.Hata hiyo dini yako huijui au kama unaijua, na kweli inasema hivyo .........??? jaza mwenyewe!
Yani hapo hamna jipya matusi ndo mtayaweza leteni point za kunishinda...mbona hamtaki kusikia....toeni point zenu za kulikosoaa swali langu kama uwongo sio matusi.



Dini yangu vipi siijui, ikiwa dini yako nimeweza kuijua.
 
Yani hapo hamna jipya matusi ndo mtayaweza leteni point za kunishinda...mbona hamtaki kusikia....toeni point zenu za kuklikosoaa swali langu kama uwongo sio matusi.



Dini yangu vipi siijui, ikiwa dini yako nimeweza kuijua.

Unatafuta attention ...ushaipata kwa kuonekana huna point bana.
Ulianza kusema ohhh wanawake waacheni waume zenu wangonoke nje ili mpendwe zaidi maana ngono siyo mapenzi!
Mara OHH ngono nje ya ndoa ni uzinifu na dini inakataza....
mara ohhh.... dini zote zinarusu mitala......
mara ohhh ......
unajikoroga mno hadi unapoteza maana ....
in short hueleweki....hebu hitimisha mada yako basi kwa kukokotoa main points zinazojitokeza hadi sasa.
 
Huna jipya wewe, toka lini mungu akapiga mafumbo kwani mungu muuza kanga.

Milima sijui nini leta andiko limesema yesu kakataza mwanaume asiowe zaidi ya mwanamke mmoja.

Naile quote nilo wawekea ya NKJV hamuiamini? Yani hata mnazipinga bible kweli kazi.
 
Fazaa nimerudi na 1wakor.7:2 lakini kwa sbabu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake wake mwenyewe..hapa Biblia inaongelea ndo ya mke mmoja..
Tatizo lako bado hamfahamu, wapi bible imesema hauruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja.

Hapo inaelezea kila mwanamke awe ana mme wake, yani hata kama wako 4 wawe na mme wao.

Na kila mwanamme awe ana mke wake mwenyewe haikusema mmoja.

Yani hata kama una wake wanne hao ni wake zako mwenyewe.
 

Huu ni upuuzi zaidi...........draw major points of your thread kwanza..ndicho nilichokushauri ...

Unang'ang'ana kuwa na wake wengi hata uwezo huna.
Tanzania nchi iliyokithiri kwa umaskini yet watu wake kama wewe wanachoona ni kujaza collection ya wanawake? Una cha kuwapa weye?"Huduma za ndani "utakuta hujimudu....si unawasukuma kwenye uzinifu weye? Hebu acha utoto kama siyo ujinga.... huu ndo ushauri wangu wa bure wa mwisho..hii thread yako haistahili "attention" ya watu makini..Im outahere!
 
yan wewe mpk bible iandike usioe wake wawili kwan kwa mistari mengine huelewi kua ni sawa na kusema usioe wake wawili?!! Kama io wakorintho! Kama huwezi kusoma ata picha huezi itafsiri!
 
Hahaha kelele na matusi ya nini, leta point dada.

Sioni hata sehemu nimejikoraga, nakupeni point kila mkiuliza tena nazitoa kwenye kitabu chenu bible...Mpaa ya kuhusu Yesu kama hajakatza mtu kuowa mke wa pili.

Yesu si mjinga aje akataze yale mungu alianza kuyafundisha toka kwa kina Ibrahim na wenzake mpaka kwake, na kumuwachia Muhammad aje amalizie.

Ulisikia wapi matusi yakashinda hahaha.
 
yan wewe mpk bible iandike usioe wake wawili kwan kwa mistari mengine huelewi kua ni sawa na kusema usioe wake wawili?!! Kama io wakorintho! Kama huwezi kusoma ata picha huezi itafsiri!
Afu nauliza wakristo mna vitabu vingapi? mbona yesu alikuja na kitabu kimoja tu kama sijakosea.


Leteni vitabu vyenu wapi yesu kasema usioe mke wa pili mbona hamtaki kufahamu!!!!!!

Kama hamna semeni hamna yaishe.
 

Unatafuta ligi ya kidini kiujanja ehhhh? Ngoja wataalamu waje kukujibu
 
yan wewe mpk bible iandike usioe wake wawili kwan kwa mistari mengine huelewi kua ni sawa na kusema usioe wake wawili?!! Kama io wakorintho! Kama huwezi kusoma ata picha huezi itafsiri!

Achana naye huyu...ni walewaleeeeeee

 
Busara zako zilikuwa missed sana hapa! Welcome back

Daaah
Kumbe nilikuwa nimo, lakin aliyekuwa anavuma ni Babu Asprin, AshaDii na mpenzi Lizzy . . . . :lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…