Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yale hapo dogo anaongelea kama umemuwacha mke wako, sio una mke na unaoa mwingine.Dah!lugha yako tu niko hoi..ila kwa faida ya wenye mawazo kama yako..mark 10,7-12:for the cause shall a man leave his father and mother and cleave to his wife,and they twain shall be one flesh,so then they are no more twain but öne flesh,what therefore God hath joined together let not man put asunder..verse 11 to 12,and he saith unto them whosoever shall put away his wife and marry another commteth adultery against her,malizia 12..and plz ushauri wa bure,change ur tone.be blessed.
Yale yale hapo dogo anaongelea kama umemuwacha mke wako, sio una mke na unaoa mwingine.
Hebu tafuta wano jua kizungu wakufahamishe dogo nini mana ya shall put away his wife.
Hayo mengine yote yanaongelea wewe na mke wako, na mke wa piki pia mke wako...Yani hakuna jipya.
Hahaha wewe dogo kajifunze kusoma bible......Unatakiwa upanue horizon yako ya kufikiri,unafkiri put away ni physically tu?.na pia,bas tunakuomba utupe neno that Mungu anasema ni sawa kuwa na mke zaidi ya mmoja,in the new testament..asante..and i told you b4,change your tone,nani dogo?!
The Pharisees also came to Him, testing Him, and saying to Him, "Is it lawful for a man to divorce his wife for just any reason?" (NKJV).
Jesus was not saying, "Whoever marries a second wife commits adultery," as some claim. He said, "Whoever divorces his wife, except for sexual immorality, and marries another, commits adultery." The issue was divorce and remarriage, not polygamy. Jesus was not overturning the Law of Moses, which allowed for polygamy
Fata dini baba, wacha kufanya ngona kabla hajuoa.
Kama unafanya sex kabla hujaowa, ujuwe ni dhambi sana tena hairuhusiwi...Mwanamke akisha kupa vitu vyake, basi wewe piga mikasi tu, usiowe kabisa.
Huyo ulisha kula tunda lake na limekuingiza kwenye dhambi mwanzo, nalita kupeleka kwenye moto mwishoni.
Mkitaka kuoa oweni wale walio ficha matunda yao, mpaa mmefunga ndoa ndo mnakula matunda yao.
Yani aisay akitokea demu akanivulia chupi, basi huyo na kula vitu afu nakata kona....Wacha aniite mshenzi au shetani mkubwa wala sijali, mana mimi na yeye wote tutakuwa kundi la shetani tu...Hatukumsikia mungu toka mwanzo tutamsikia badaye.
Sasa kwa infomation yako; Hakuna kitabu cha dini kimesema tufanye ngona kwanza, afu ndo tuowe hao wanawake.
Aisay hebu tuwache mambo ya kidini kwenye hii thread, mana naona wengi dini hamzijui.
Aisay mungu huwa hapigi fumbo ili wengine wasifahamu, mungu gani huyo anayesema fumbo ili watu wasifahamu, we leta kitu kimeandikwa hivi; Mungu anakataza usiowe mke wa pili....Msilete story nyingi kama hakuna jibu kutoka kwenye bible.
Aisay mimi naona wewe umetoa mpya, yani karibuni utatuwachia tule mke wako sio...Ama kweli 2012 ina mambo.
Aaaa mimi bora nibakie na maendeleo ya miaka ilio pitwa na wakati, mke wangu hagusi mwanaume yoyote.
Yani hapo hamna jipya matusi ndo mtayaweza leteni point za kunishinda...mbona hamtaki kusikia....toeni point zenu za kulikosoaa swali langu kama uwongo sio matusi.wewe umepinda kweli.Hata hiyo dini yako huijui au kama unaijua, na kweli inasema hivyo .........??? jaza mwenyewe!
Yani hapo hamna jipya matusi ndo mtayaweza leteni point za kunishinda...mbona hamtaki kusikia....toeni point zenu za kuklikosoaa swali langu kama uwongo sio matusi.
Dini yangu vipi siijui, ikiwa dini yako nimeweza kuijua.
Huna jipya wewe, toka lini mungu akapiga mafumbo kwani mungu muuza kanga.Ona sasa!!! Unafikiri mafumbo ya vitabu vitakatifu ndo sawa na mafumbo ya uswahilini??
Mafumbo ktk vitabu hutumika kuelezea vitu vingi kwa maneno machache, na Viongozi wa dini hufundisha waumini kuelewa hiyo mistari kwa mapana zaid. Ndio maana mstari ukisomwa unafafanuliwa. We kijana vipi?
Nionyeshe basi waliposema RUKSA KUOA MKE ZAID YA MMOJA?
Na nimekwambia elezea mstari ". . . . na ikiwa nina imani yote kuweza kuhamisha milima, lakini sina upendo, mimi si kitu" - 1 Wakorintho 13:1-13 UNAUELEWAJE?
Nasubili majibu
cPu
Tatizo lako bado hamfahamu, wapi bible imesema hauruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja.Fazaa nimerudi na 1wakor.7:2 lakini kwa sbabu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake wake mwenyewe..hapa Biblia inaongelea ndo ya mke mmoja..
Tatizo lako bado hamfahamu, wapi bible imesema hauruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja.
Hapo inaelezea kila mwanamke awe ana mme wake, yani hata kama wako 4 wawe na mme wao.
Na kila mwanamme awe ana mke wake mwenyewe haikusema mmoja.
Yani hata kama una wake wanne hao ni wako zako mwenyewe.
Hahaha kelele na matusi ya nini, leta point dada.
Unatafuta attention ...ushaipata kwa kuonekana huna point bana.
Ulianza kusema ohhh wanawake waacheni waume zenu wangonoke nje ili mpendwe zaidi maana ngono siyo mapenzi!
Mara OHH ngono nje ya ndoa ni uzinifu na dini inakataza....
mara ohhh.... dini zote zinarusu mitala......
mara ohhh ......
unajikoroga mno hadi unapoteza maana ....
in short hueleweki....hebu hitimisha mada yako basi kwa kukokotoa main points zinazojitokeza hadi sasa.
Afu nauliza wakristo mna vitabu vingapi? mbona yesu alikuja na kitabu kimoja tu kama sijakosea.yan wewe mpk bible iandike usioe wake wawili kwan kwa mistari mengine huelewi kua ni sawa na kusema usioe wake wawili?!! Kama io wakorintho! Kama huwezi kusoma ata picha huezi itafsiri!
Hahaha kelele na matusi ya nini, leta point dada.
Sioni hata sehemu nimejikoraga, nakupeni point kila mkiuliza tena nazitoa kwenye kitabu chenu bible...Mpaa ya kuhusu Yesu kama hajakatza mtu kuowa mke wa pili.
Yesu si mjinga aje akataze yale mungu alianza kuyafundisha toka kwa kina Ibrahim na wenzake mpaka kwake, na kumuwachia Muhammad aje amalizie.
Ulisikia wapi matusi yakashinda hahaha.
yan wewe mpk bible iandike usioe wake wawili kwan kwa mistari mengine huelewi kua ni sawa na kusema usioe wake wawili?!! Kama io wakorintho! Kama huwezi kusoma ata picha huezi itafsiri!
Busara zako zilikuwa missed sana hapa! Welcome back