fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
- Thread starter
-
- #141
Sijaktaa kabisa hapo umeongea point nzuri sana, lakini usisahau ni kipi bora mwanaume aongeze mke wa pili, au atoke nje ya ndoa, naomba unijibu hapo.takwimu zaonyesha ndoa ya mume na mke mmoja ndiyo yenye furaha na hudumu kwa maana ina vitendo haba vya ngono na uzinifu kama penzi lipo kati ya wanandoa..........................
ajabu kila mwaumme anapofanya ngono hamu haipungui ila yaongezeka kuzini na wapya.................akifikiri upya ni kinyemi..................na huendelea vivyo hivyo hadi mauti itakapompumzisha.................na mara nyingi huwa mwathirika wa magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.......
Usiseme mwanaume ambaye yuko kwenye ndoa hazini, awe kwenye dini ya kiislamu au kikristo au hata kama hana dini....Wako wako lakini sio wengi sana, na hao kwa kuwa hawapendi tu kufanya sex....Wenye kupenda sex hawawezi kujizuia hata siku moja lazima watatoka tu nje ya ndoa...afu lazima niweke point clear hapa msije mkageuza maneno...Mtu anaye fanya sex yuko kwenye ndoa, ni tofauti na naye fanya nje ya ndo, hivyo unapo fanya sex na mke wako hio inaitwa love nadhani mmenifahamu.
Point ingine sijawahi kusikia mungu kakataza wanaume wasiowe mke wa pili, nasijawahi kusikia mungu hajakataza wanaume wasizni...Yani nimeomba vitabu au quiote za vitabu vya dini mniwekee hapa wapi Mungu kasema usiowe mke wa pili au mtu akiowa mke wa pili ni dhambi sana....Hamkuweza kuniletea na mtasumbuka mpaa mtakufa hamta niletea.
Lakini nikaomba quote za wapi mungu kakataza uzinifu mtaniletea nyingi sana...Wakati hio moja tu mmeshindwa kunileta ya kusema, wapi mungu kakataza mtu asiowe mke wapili.