Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

takwimu zaonyesha ndoa ya mume na mke mmoja ndiyo yenye furaha na hudumu kwa maana ina vitendo haba vya ngono na uzinifu kama penzi lipo kati ya wanandoa..........................

ajabu kila mwaumme anapofanya ngono hamu haipungui ila yaongezeka kuzini na wapya.................akifikiri upya ni kinyemi..................na huendelea vivyo hivyo hadi mauti itakapompumzisha.................na mara nyingi huwa mwathirika wa magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.......
Sijaktaa kabisa hapo umeongea point nzuri sana, lakini usisahau ni kipi bora mwanaume aongeze mke wa pili, au atoke nje ya ndoa, naomba unijibu hapo.

Usiseme mwanaume ambaye yuko kwenye ndoa hazini, awe kwenye dini ya kiislamu au kikristo au hata kama hana dini....Wako wako lakini sio wengi sana, na hao kwa kuwa hawapendi tu kufanya sex....Wenye kupenda sex hawawezi kujizuia hata siku moja lazima watatoka tu nje ya ndoa...afu lazima niweke point clear hapa msije mkageuza maneno...Mtu anaye fanya sex yuko kwenye ndoa, ni tofauti na naye fanya nje ya ndo, hivyo unapo fanya sex na mke wako hio inaitwa love nadhani mmenifahamu.

Point ingine sijawahi kusikia mungu kakataza wanaume wasiowe mke wa pili, nasijawahi kusikia mungu hajakataza wanaume wasizni...Yani nimeomba vitabu au quiote za vitabu vya dini mniwekee hapa wapi Mungu kasema usiowe mke wa pili au mtu akiowa mke wa pili ni dhambi sana....Hamkuweza kuniletea na mtasumbuka mpaa mtakufa hamta niletea.

Lakini nikaomba quote za wapi mungu kakataza uzinifu mtaniletea nyingi sana...Wakati hio moja tu mmeshindwa kunileta ya kusema, wapi mungu kakataza mtu asiowe mke wapili.
 
hapa unataka kumfanya mtu ajifunze ushirikina wakati hukuzaliwa kwenye hilo. wewe usispoenda mwenzio ataenda. ukiumwa kidogo utasema mke mwenzio kakuronga. hebu endeleeni tu na mke mmoja, na muendelee na nyumbas ndogo zenu, most of us tumeshazoea hayo maisha. lakini kupewa zamu za kulala na mume, sorry hiyo hapana kweli.
 
Bibi wa kisasa, muache aoe wake wengi. Kwani ana wasiwasi gani, si majirani watamsaidia pale anapoishia?
Fazaa, wasikuzingue, mie nimekuelewa na nimekubali ushauri. Infact atakaetaka kuolewa na mume wangu namkaribisha aje nimpe orientation na the dos and don'ts zake mapemaa!
kujaza mimba sio kwamba mtu ana nguvu za kiume nyingi! kukaa kwa computer, kula chips kuku na kupanda magari ndio unajidai kuoa wake wengi utakufa siku si zako!
 
LOL! Hivi akili za Mungu ulizijulia wapi!?..... yale yale ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwa hiyo wewe kuwa Baba kwa mtoto wa nje ni sawa lakini Mwanaume mwingine kuwa Baba wa mtoto kupitia mkeo ni kosa kubwa sana!!!!! Fungua macho kaka acha umimi!!!! Dunia ya 2012 ni tofauti na mwaka 47.

you are heaven sent kwa kweli! Thanks kwa kuwa na upeo mzuri...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hapa unataka kumfanya mtu ajifunze ushirikina wakati hukuzaliwa kwenye hilo. wewe usispoenda mwenzio ataenda. ukiumwa kidogo utasema mke mwenzio kakuronga. hebu endeleeni tu na mke mmoja, na muendelee na nyumbas ndogo zenu, most of us tumeshazoea hayo maisha. lakini kupewa zamu za kulala na mume, sorry hiyo hapana kweli.
Hayo ni mambo ya kudanganyana tu eti kurogana, anaye weza kukuroga nani bila amri ya mungu.

Hebu mwambie mchawi awe mfalme kama anaweza.

Bibi wa kisasa, muache aoe wake wengi. Kwani ana wasiwasi gani, si majirani watamsaidia pale anapoishia?
Fazaa, wasikuzingue, mie nimekuelewa na nimekubali ushauri. Infact atakaetaka kuolewa na mume wangu namkaribisha aje nimpe orientation na the dos and don'ts zake mapemaa!
Hahaha kweli wanawake mnachekesha, kwani ukiwa na mke mmoja kama anatabia mbaya huwezi kusaidiwa na majirani....Mimi naona kila siku wengi tu wameowa mwanamke mmoja, na wale wake zao wanazipigisha tu nje.

Mmeishiwa hamjuii mnijibu nini...Leteni point ya kunishinda, wapi Mungu kasema kuowa mke wa pili dhambi?i

you are heaven sent kwa kweli! Thanks kwa kuwa na upeo mzuri...
Hahaha mwenye kwenda peponi hapewi ticket na wewe...usianze kumpa ticket ya pepo wakati wewe hujui kama una ticket ya kwenda huko
.
Kwa fasta fasta navyo ona mimi, huyo sidhani kama atakuwa mtu wa peponi....Sababu anashauri wake za watu waende nje ya ndoa kutokana na point aliizo ongea nyuma.....Atanisamehe lakini huo ndo ukweli.
 
Fazaa
Mpaka sasa hujanijibu Wakristo wanaruhusiwa kuoa wake wangapi?
 
Mi nadhani hii post ilipaswa kusema kama ifuatavyo, maana haiwakilishi SISI WANAUME bali YEYE MWANAUME

Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu MIMI Fazaa Mwanaume!

Mkitaka mwanaume wenu niwapende, nichieni mwanaume wenu niwaowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya mimi mwanaume sijakuwa programmed nifanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umeniruhusu mwanaume wako niwe na mwanamke mwingine.

Huyo mwanaume Fazaa atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.

Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu.

Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu mwanaume wenu niko mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za mwanaume wenu Fazaa, ili mwanaume wenu nitulie na nyie.

Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume Fazaa kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza.

Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri mwanaume wenu Fazaa time ya kuoa, au hata mgenijali nitapenda au sipendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zangu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.

Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.

Siku njema.
 
Fazaa
Mpaka sasa hujanijibu Wakristo wanaruhusiwa kuoa wake wangapi?
Aisay ndugu kwanza leo niko busy sana kwa hio ukiona swali lako nachelewa kulijibu ujuwe niko busy, lakini talijibu tu sawa.

Haya tukirudi kwenye swali lako, Wakristo wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi?

Hapo hata wakristoi wengine hawajui wamuamini mungu au wamini maneno wanayo fundishwa bila dalili...Mimi nataka wewe unaye amini ukristo uniambie wapi bible iimesema huruhusiwi kuoa mke wa pili...Umeshindwa kunijibu sasa unauliza wa kristo wameruhusiwa kuoa wanawake wangapi...Wakati kitabu chako unacho kiamini hakijasema usiowe mke wa pili.

Sasa tuamini mnavyo amini nyie au tuamini kitabu chenu? Mana kitabu chenu hakijakataa msiowe zaidi ya mke mmoja au hakisemi kuowa mke wa ppili ni dhambi.

Ukisema tumeambiwa kanisani tusiowe mke wa pili bila kuwa na point kutoka kwenye bible hapo itakuwa ni ujinga...Ni sawa sawa kama vile mfano wa mtu aende University bila kusoma akafahamu, afu umueleze wewe umeisha kuwa na degree haina haja ya kusoma.
 
@CPU,

Kama umeishiwa usibadilishe mana ya thread, hizo ni dalili zinaonyesha wazi umeishiwa na point.

Jibu swali wacha kukwepa; wapi mungu kasema kwenye Bible kuowa mke wa pili dhambi?
 
Hahaha mwenye kwenda peponi hapewi ticket na wewe...usianze kumpa ticket ya pepo wakati wewe hujui kama una ticket ya kwenda huko
.
Kwa fasta fasta navyo ona mimi, huyo sidhani kama atakuwa mtu wa peponi....Sababu anashauri wake za watu waende nje ya ndoa kutokana na point aliizo ongea nyuma.....Atanisamehe lakini huo ndo ukweli.
Ningekushauri wakati mwingine kama huelewi msemo jaribu hata kuuliza.
Mtu kuambiwa ni "heaven sent" hakumpi tiketi ya kwenda mbinguni wala popote pale, inaashiria kwamba alichofanya/alivyo ni kitu ambacho hakikutegemewa ila amekifanya/patikana katika muda muafaka.
 
Busara zako zilikuwa missed sana hapa! Welcome back
Mi nadhani hii post ilipaswa kusema kama ifuatavyo, maana haiwakilishi SISI WANAUME bali YEYE MWANAUME

Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu MIMI Fazaa Mwanaume!

Mkitaka mwanaume wenu niwapende, nichieni mwanaume wenu niwaowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya mimi mwanaume sijakuwa programmed nifanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umeniruhusu mwanaume wako niwe na mwanamke mwingine.

Huyo mwanaume Fazaa atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.

Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu.

Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu mwanaume wenu niko mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za mwanaume wenu Fazaa, ili mwanaume wenu nitulie na nyie.

Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume Fazaa kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza.

Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri mwanaume wenu Fazaa time ya kuoa, au hata mgenijali nitapenda au sipendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zangu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.

Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.

Siku njema.
 
Ningekushauri wakati mwingine kama huelewi msemo jaribu hata kuuliza.
Mtu kuambiwa ni "heaven sent" hakumpi tiketi ya kwenda mbinguni wala popote pale, inaashiria kwamba alichofanya/alivyo ni kitu ambacho hakikutegemewa ila amekifanya/patikana katika muda muafaka.
Nilijua wewe huna jipya utatafuta huku na kule maneno mengi tu.

Haya kila mtu anamsemo wake c ndo mana nikisema shangingi, lazima kuna wengine watasema land cruser, na wengine watasema malaya.

Hayo Lizzy sawa nimekubali, na ninashukuru kwa kunieleimisha.

Sasa yote tosa turudi kwenye thread, jibu swali langu kama unaweza; Wapi mungu kasema ukioa mke wa pili utakuwa unazini , au kama kama hufahamu mana ya zina....wapi mungu kasema ukioa mke wa pili utakuwa unafanya sex?

Hapo kwenye highlighted hapo lazima utakimbia tu, mana swali hilo si size yako, wewe niwakujibu tu kule kwingine kama mlevi.
 
Back
Top Bottom