The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
wanasema pesa humfuata mwenye pesa..
huwezi kupata pesa nyingi bila kuwa na pesa japo kidogo sio...
mimi katika experience yangu naona na wanawake
hivyohivyo....
ukiwa single mda mrefu inakuwa ngumu
kupata mwanamke....
but ukiwa kwenye relationship na mwanamke mmoja...
ndo kama umewaambia vile....wakufuate.
utashangaa wanavyokuwa easy kwako....
yaani ukitaka kupata bahati ya wanawake..
kwanza chukua mmoja....
sijui ni nini but wanawake huwa wanapenda mwanaume
mwenye mwanamke tayari...i mean hata kama hajui
kama unae....atavutiwa tu na wewe...
but kama upo single ni tofauti....
wanaume wote waliooa,huwa wanashangaa kuona
bahati zao zinaongezeka baada ya kuoa...
mimi niliwahi kukaa single kwa miezi mitatu.....
nilipoanza kutafuta mwanamke wa kunifaa
nilisumbuka wiki tatu....
nilipompata niliemtaka.one week later nilikuwa
nina wengine kama wanne wako pending....wananisikilizia
women bana....