44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Wanawake nawakaribisha mjibu hili swali il muwatoe wanaume wengi ambao wapo njia panda juu ya jambo hili.
Maana kuna wanaume huwa wanajisfia kuwa wakizama chumvini huwa wanawapa raha je ni kweli?
Kama mtasema ni kweli wanaume wote watahamasika kufanya hvyo ili wawaridhishe wapenzi wao, ila kama sio kweli basi wanaume wenye mtindo huu waache kabisa!
Karibuni wanawake.