KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Na mvua hazinyeshiNdio maana joto ni kali sana hapa mjini!
Na umeme unakatika
Na bidhaa zimepanda
Na tozo zinazidi
Na mafuta et yapo ya siku ngapi sijui.. watanzania tutafika motoni haraka sana..😂