Wanawake, ni kweli huwa mnafurahia mpenzi anapozama chumvini au wanaume wanajipendekeza na kuwasumbua tu?

Kweli sijawahi kusikia wala kuona wanyama wanapalangana
 
[emoji23][emoji23]kabisa hii ni point, yani kunakipindi nahsigi kabisa tunaziidiwa akili na wanyama, wao wanafanya mapenzi vile mungu aliivyoalalisha sisi biinadam tunajifanya mafundi sana tunaishia kukufuru kwa kuzibua mitaro ya watu [emoji23][emoji23]
 
Mkuu mim sjazungumzia kuzibua mitaro,soma uz vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…