Kamuulizeni Ommy Dimpoz kama anatamani tena kuzama chumvini...
Bora upate ngoma kuliko kansa, tena kansa ya koo.
Inasababisha koo linaziba, njia ya chakula inakuwa finyu, unakuwa huwezi kumeza chochote labda maji tena kwa maumivu makaliii...
Mwisho wa siku huwa wanatobolewa kwenye tumbo, hivyo unakuwa unakula kwa kutumia mpira.
Mara nyingi kansa hii huwa inaanza kusambaa(metastasis) hasa kwenye mfumo wa hewa na ikifika kwenye mapafu ndio basi tena.
Hivyo ukija sisi tunakuweka mamipira ya namna hii[emoji116][emoji116]
View attachment 2011143
View attachment 2011144
View attachment 2011145
View attachment 2011147
Anyway, vijana endeleeni ku-eat pus*ies kwa raha zenu ili kesho muwe wateja wetu, sisi ukija tuu tunaanza na masindano makubwa makubwa kama haya[emoji116]
View attachment 2011151