Wanawake ni majasiri

Wanawake ni majasiri

Dena nimechukizwa sana na hao watu wawili wanaoita wanawake 'wadudu' wamenikwaza na kunifanya nitoke nje ya mada.

Baaada ya kusoma ile thread kule ndo umekuja ku comment huku eeeh
Safi sana
 
dena nimechukizwa sana na hao watu wawili wanaoita wanawake 'wadudu' wamenikwaza na kunifanya nitoke nje ya mada.

ni watu wa ajabu sana,mm pia nimekasirika sana. Nadhani wana upungufu wa akili hao watu.
 
kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?
 
na wewe pia
safi sama

kimbweka inauma sana kuitwa majina ya ajabu kwani inaonyesha kuwa ni dharau iliyopitiliza. Sasa kama ss ni wadudu inakuaje mnatupapatikia? Tena hadi kuuna juu yetu.
 
Itabidi tuongee vizuri na mainjinia, wataalamu wa michoro na ramani pamoja na mafundi watusaidie kwenye hili la kuziba mashimo

Ujasiri wa hivo hata sisi tunao.,
Humjui/hakujui unang'oa...tutabebaga majini siku nyingine
siyo hivyo tuu mkuuu unaingiza hata hujui kama kunameno huko au kiwembe duuu!
 
hawana ujanja huwo bana!hiyo kazi ni ya Mungu tu,nyie mtaishia kula tu!
Itabidi tuongee vizuri na mainjinia, wataalamu wa michoro na ramani pamoja na mafundi watusaidie kwenye hili la kuziba mashimo
 
wangu nlisha mkarabati ati.
akienda kurunka njia na dume jingine anajikuta ameota jinsia ya kiume hivyo huyo bwanake ashindwa fanya lolote
kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?
 
kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?
Pearl, umenifanya nicheke aisee duh! Hizi lawama za upande mmoja wakati mchezo tunafanya wawili haziniingii akilini.
Kama ni ujasiri basi tunao wote, kama ni uonga likewise.
Wakaka vipi mbona hapa mnawagaia wadada credo ki reeeree sana?
 
maneno hayo hata kwenye khanga yamo!watu wala vyao kiulainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Jipe moyo lkn
wangu nlisha mkarabati ati.
akienda kurunka njia na dume jingine anajikuta ameota jinsia ya kiume hivyo huyo bwanake ashindwa fanya lolote
 
Ipi tena Kimbweka? Hii ndo ya kwanza leo kusoma halafu ikaniudhi, sasa hiyo nyingine kama ina Wadudu' tena basi usiniambie.

Mie niliposoma huku ikabidi niende kuuliza kule kwanini majina hayo yanatumika
Hivi ata mkeo utamwambie mke wangu we ni bonge la dudu?
?
 
Hawa ndo samaki bulaza!!! Hebu ckiliza Offcd Trick utapata picha kamili!
Hivi wanapopiga kelele huwa ni utamu o maumivu hayo?????

Unakutana nae kwenye gari, hamfahamiani, unaenda kupiga one night stand.
Hajui una kifaa cha uzito gani, kama ni tubelight au sigara.
hata kama una tube light wala hakimbiii, atagugumia maumivu mpaka umalize haja zako.
Hata kama una kitu kama kipisi cha sigara, utamchovya hivyohivyo.
Kweli wanawake hawaogopi kitu
 
kimbweka inauma sana kuitwa majina ya ajabu kwani inaonyesha kuwa ni dharau iliyopitiliza. Sasa kama ss ni wadudu inakuaje mnatupapatikia? Tena hadi kuuna juu yetu.

kwani nyinyi wanawake huwa hamtupapatikii sisi vidume?
 
Back
Top Bottom