Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Dena nimechukizwa sana na hao watu wawili wanaoita wanawake 'wadudu' wamenikwaza na kunifanya nitoke nje ya mada.
Baaada ya kusoma ile thread kule ndo umekuja ku comment huku eeeh
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dena nimechukizwa sana na hao watu wawili wanaoita wanawake 'wadudu' wamenikwaza na kunifanya nitoke nje ya mada.
ww,hebu tumia kauli nzuri. Ina maana hata mama yako nae ni mdudu?? Tumia busara bana ahh,umenikasirisha sana.
dena nimechukizwa sana na hao watu wawili wanaoita wanawake 'wadudu' wamenikwaza na kunifanya nitoke nje ya mada.
Ipi tena Kimbweka? Hii ndo ya kwanza leo kusoma halafu ikaniudhi, sasa hiyo nyingine kama ina Wadudu' tena basi usiniambie.Baaada ya kusoma ile thread kule ndo umekuja ku comment huku eeeh
Safi sana
na wewe pia
safi sama
kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?
Watu wengine bwana...anyway huwezi jua labda mwenzio alitokea tu kama uyoga.ni watu wa ajabu sana,mm pia nimekasirika sana. Nadhani wana upungufu wa akili hao watu.
siyo hivyo tuu mkuuu unaingiza hata hujui kama kunameno huko au kiwembe duuu!Ujasiri wa hivo hata sisi tunao.,
Humjui/hakujui unang'oa...tutabebaga majini siku nyingine
Itabidi tuongee vizuri na mainjinia, wataalamu wa michoro na ramani pamoja na mafundi watusaidie kwenye hili la kuziba mashimo
kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?
Pearl, umenifanya nicheke aisee duh! Hizi lawama za upande mmoja wakati mchezo tunafanya wawili haziniingii akilini.kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?
wangu nlisha mkarabati ati.
akienda kurunka njia na dume jingine anajikuta ameota jinsia ya kiume hivyo huyo bwanake ashindwa fanya lolote
Ipi tena Kimbweka? Hii ndo ya kwanza leo kusoma halafu ikaniudhi, sasa hiyo nyingine kama ina Wadudu' tena basi usiniambie.
Afadhali umekuwa wa haki hapa IzaUjasiri wa hivo hata sisi tunao.,
Humjui/hakujui unang'oa...tutabebaga majini siku nyingine
Unakutana nae kwenye gari, hamfahamiani, unaenda kupiga one night stand.
Hajui una kifaa cha uzito gani, kama ni tubelight au sigara.
hata kama una tube light wala hakimbiii, atagugumia maumivu mpaka umalize haja zako.
Hata kama una kitu kama kipisi cha sigara, utamchovya hivyohivyo.
Kweli wanawake hawaogopi kitu
kimbweka inauma sana kuitwa majina ya ajabu kwani inaonyesha kuwa ni dharau iliyopitiliza. Sasa kama ss ni wadudu inakuaje mnatupapatikia? Tena hadi kuuna juu yetu.
Na ww kumbe umekerwa eeh? Huyu Chobu na son of peasant bwana duhMie niliposoma huku ikabidi niende kuuliza kule kwanini majina hayo yanatumika
Hivi ata mkeo utamwambie mke wangu we ni bonge la dudu?
?
Waume na wake wanapapatikiana....tukubaliane hapo. Sasa kwa nini wanawake wawe wadudu?kwani nyinyi wanawake huwa hamtupapatikii sisi vidume?
Kabisa.................. ila ikitanuliwa hadi karibu na mwisho inawasumbua kidogokwa hiyo its ready kwa mtarimbo wa aina yeyote ule