Wanawake, ni nini haswa mkitakacho?

Wanawake, ni nini haswa mkitakacho?

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
20,704
Reaction score
66,337
Katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa😂.....

Sasa kina dada naomba mcomment vitu vyoote mnavovitaka kutoka kwa wanaume; wanaume tuchukue notes, inaonekana kabisa pesa na nguvu za kiume havitoshi😂
 
katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa😂.....

sasa kina dada naomba mcomment vitu vyoote mnavovitaka kutoka kwa wanaume; wanaume tuchukue notes, inaonekana kabisa pesa na nguvu za kiume havitoshi😂
In short tafuta pesa

Hiyo ndo international language ya wale kenge

Hayo mengine ni ya kuzugia tu
 
Mwsho wa kunukuu
 

Attachments

  • JamiiForums-687147527.jpeg
    JamiiForums-687147527.jpeg
    40.1 KB · Views: 10
Mimi nilikuwa sipendi kabisa mwanamume mwenye ndevu ... Ila kwa sababu nyinginezo.... Nipo na Mwenye ndevu za kutoooosha😂😋

Nimezoea Sasa.... Ila huwa namkumbusha kwenda barber shop mara kwa Mara😩😂
 
Back
Top Bottom