Wanawake ni viumbe wanaoeleweka sana sema Sisi ndio hatutaki kuwaelewa

Wanawake ni viumbe wanaoeleweka sana sema Sisi ndio hatutaki kuwaelewa

Umesikia brother
Hapo namba 3 namba 4 namba 5 na namba 6
Umeona hata wewe ulivyoyachanganya namba 3 umeyarudia ya namba 4
namba 4 umeyapunguza ya namba 5 namba 5 umesisotiza yaleyale namba zilizopita kwa mkazo fulani
Namba 6 ukayarudia yote ya namba 3 namba 4 na namba 5

Huwezi kumuelewa MWANAMKE anataka nini MADA yako imejieleza TOSHA yaan wewe umetoa ufafanuzi zaidi kwann wanawake hawaeleweki
Ipo hvyo mkuu pitia vizuri thread yako vizuri utagundua namna ulivyochambua kiufundi namna gani huwezi kumuelewa mwanamke na kujua anataka nn

Ila ni kweli MWANAMKE anapendeza anapiga MAKE UP kali msuko mkali na nguo za gharama ili kumkosha/kumringishia MWANAMKE MWENZIE au WANAWAKE wenzie ipo hvyo hilo ni kweli
Na Wala sio kuvutia wanaume kam sisi wanaume tunavyodhani
 
Dah! Ebana umeelezea kiufundi kweli lkn ss kuyaishi hayo ndo kipengele, Kumb ule uongo na Sheria za zaman juu Yao ndo zinatuponza leo Wanaume loo!☺️
 
Back
Top Bottom