Umesikia brother
Hapo namba 3 namba 4 namba 5 na namba 6
Umeona hata wewe ulivyoyachanganya namba 3 umeyarudia ya namba 4
namba 4 umeyapunguza ya namba 5 namba 5 umesisotiza yaleyale namba zilizopita kwa mkazo fulani
Namba 6 ukayarudia yote ya namba 3 namba 4 na namba 5
Huwezi kumuelewa MWANAMKE anataka nini MADA yako imejieleza TOSHA yaan wewe umetoa ufafanuzi zaidi kwann wanawake hawaeleweki
Ipo hvyo mkuu pitia vizuri thread yako vizuri utagundua namna ulivyochambua kiufundi namna gani huwezi kumuelewa mwanamke na kujua anataka nn
Ila ni kweli MWANAMKE anapendeza anapiga MAKE UP kali msuko mkali na nguo za gharama ili kumkosha/kumringishia MWANAMKE MWENZIE au WANAWAKE wenzie ipo hvyo hilo ni kweli
Na Wala sio kuvutia wanaume kam sisi wanaume tunavyodhani