Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Wanawake ni viumbe wasioridhika, hakikisha asijue kipato chako

Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri mkeo.

Tatizo linaanzia hapo mkuu.

Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi au biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni "hela ya kuwa wapenzi".
Sijajua hiyo hela inaitwaje.
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri.
Tatizo linaanzia hapo.
Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi/biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni hela ya kuwa wapenzi. Sijajua hiyo hela inaitwaje.
[emoji23][emoji23][emoji23] hela ya kuwa wapenzi...
 
Kitaalam inaitwa CHUMA ULETE HIYO.. mrudishe ulikomtoa kwa kuanza kufanya business kivyako, atakuwa tayari ameshapata mtaji, ama umeshapata msaidizi mkuu, ulipomfikisha panatosha
 
Kitaalam inaitwa CHUMA ULETE HIYO.. mrudishe ulikomtoa kwa kuanza kufanya business kivyako, atakuwa tayari ameshapata mtaji, ama umeshapata msaidizi mkuu, ulipomfikisha panatosha
Asante
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri.
Tatizo linaanzia hapo.
Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi/biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni hela ya kuwa wapenzi. Sijajua hiyo hela inaitwaje.
Nimecheka japo nna huzuni
 
Mzee wangu alishawahi kuniambia usimuendekeze mwanamke maisha ya starehe hata kama pesa unayo,akaniambia pia hakikisha asijue kipato chako yaani statement yako ya bank hadi salaryslip iwe siri yako hata akiba yako jitahidi kuwa msiri maana huwa hawariziki kwa kweli mzee sikumuamini
Kunguru hafugiki[emoji2][emoji2]
 
Nakwambia piga chini, mpotezeee atakufilisi
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri.
Tatizo linaanzia hapo.
Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi/biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni hela ya kuwa wapenzi. Sijajua hiyo hela inaitwaje.
Mahaba allowance [emoji1]...anaasume anafanyia kazi sehem nyingine kabisa, umpe hela sasa
 
Mwanamke anajulikana pia kama mama. Sasa hilo neno mama lilivyo naa mapana na marefu yake. Maisha ya kiumbe chochote yanatokana na mama, kama nitakua nimekosea nisamehewe, baada ya Mungu ni mama.

Ni kwa muktadha huo nimejikuta nawaheshimu sana wanawake kwa kiasi ambacho hakuna kipimo. Unaweza ukazungumza namna yoyote juu ya mwanamke lakini jua ya kwamba mwanamke ni more than all .

Ndugu mleta mada jaribu kutafuta mapungufu yako juu ya hili ulilo liwasilisha hapa kabla ya kufanya hitimisho.
 
mama D, hebu njoo sasa na wewe ili uje utie neno hapa! Maana kilele cha Sherehe za UWT kule Dodoma tayari kimeshapita. Na mchango wako tuliuona.
 
Hapo ni kama unafanya biashara na mke wako,
Au umemuajiri.
Tatizo linaanzia hapo.
Hiyo hela unayomlipa 12k- 17k ni malipo ya kazi/biashara mnayofanya.

Kwahiyo anachodai hapo ni hela ya kuwa wapenzi. Sijajua hiyo hela inaitwaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom