Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I trust uHuu ushauri mzuri kabsa miaka 23 Ni maturation stage wanasumbua balaa
We nawe, kila post upo.
Unanifatilia mkuu? Sor kama nakukeraWe nawe, kila post upo.
Achana nae Mwalimu, fanya yako.Unanifatilia mkuu? Sor kama nakukera
Nimemwacha mkuu, binadamu hatufananiAchana nae Mwalimu, fanya yako.
Nakufatilia mkuu, kuna ubaya?Unanifatilia mkuu? Sor kama nakukera
We tulia hayakuhusu, mi niko zangu hapa na to yeye wangu we unaumia na nini mkuu?Achana nae Mwalimu, fanya yako.
Si vyema,,,tunanyimana Uhuru kufuatiliana mkuu.Nakufatilia mkuu, kuna ubaya?
Dah ila jf raha sana, unaweza kuta na chat na mtu wangu wa karibu kabisa ila ndo kujua sasa, usiwaze mkuu kuwa huru ni utani tu!Si vyema,,,tunanyimana Uhuru kufuatiliana mkuu.
Take it easy boss, maisha yenyewe mafupi haya!Sasa siungesema shida yako.
Mkuu umeandika ukiwa kwenye hali gani?Mwanamke anajulikana pia kama mama.
Sasa hilo neno mama lilivyo naa mapana na marefu yake!
Maisha ya kiumbe chochote yanatokana na mama, kama nitakua nimekosea nisamehewe, baada ya Mungu ni mama.
Ni kwa muktadha huo nimejikuta nawaheshimu sana wanawake kwa kiasi ambacho hakuna kipimo.
Unaweza ukazungumza namna yoyote juu ya mwanamke lakini jua ya kwamba mwanamke ni more than all .
Ndugu mleta mada jaribu kutafuta mapungufu yako juu ya hili ulilo liwasilisha hapa kabla ya kufanya hitimisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo anasumbuliwa na ulimbukeni. Bora kakuonyesha mapema maana huko mbeleni atakisumbua sana. Uamuzi ni wako kusuka au kunyoa.Watu waliotoka familia zenye maisha duni mara nyingi wana matatizo.Mzee wangu alishawahi kuniambia usimuendekeze mwanamke maisha ya starehe hata kama pesa unayo, akaniambia pia hakikisha asijue kipato chako yaani statement yako ya bank hadi salaryslip iwe siri yako hata akiba yako jitahidi kuwa msiri maana huwa hawariziki kwa kweli mzee sikumuamini
Nna mwanamke wangu ambaye niko nae kwenye mahusiano mwaka wa tatu huu ana miaka 23, hana elimu yoyote ya maana , alizungushaza olevel akawa mtaani tu maana analelewa na ndugu wazazi alishapoteza
Nimeanza nae mahusiano akiwa kwenye hali tete maaana alikuwa akiishi maisha magumu sana hata hao ndugu kumjali walikuwa hawamjali, wanaume aliokuwa nao ndio wale masharobaro kula kwa mama
Hivyo kuanzia mwaka huu umeanza nikaona maisha ya mwanamke kukaa nyumbani tu si mazuri nikaona nimpush na yeye aingize kipato na mimi majukumu ya kutoa pesa ya matumizi kila siku yapungue nipate ahueni na yeye apate pesa afanye mambo yake ya muhimu
Hivyo nikawa nashirikiana nae kwenye biashara zangu kila siku, nikawa namlipa 15,000 siku nyingine 20,000 hadi 17,000 na siku hali ikiwa tete mara chache sana nampa 12,000, hapo nauli,kula,vocha juu yangu mimi na akirudi nyumbani kwao halipi kodi, maji wala chakula hanunui anakikuta mezani ye hela nayomlipa ni kuweka tu
Lakini wakuu kipindi cha hivi karibuni akawa amenza malalamiko na vijembe vya chini chini yaani anasema simjali, mean simpi pesa, mean mimi ni bahili, vijembe anaweka hadi wahtsapp mwanaume bahili hafai ila huwa nakausha tu napita kimya kimya
Ila sikutegemea zarau kama hizi maana nilitegemea mwenzangu tunachotafuta na kugawana angerizika lakini now anataka nimpe na pesa nyingine tena ya matumizi hapo ndio nimechoka
Ila nachowashauri tu hivi viumbe tuishi navyo kwa Tahadhari sana maana haviriziki wala kujua ugumu wa kutafuta pesa , na unachowapa hawaridhiki wanaona wanahitaji kikubwa zaidi ya walichonacho
Washakua brainwashed hao...yaani eti usipoint madhaifu ya mwanamke kisa anazaa...[emoji1]...no logicMkuu umeandika ukiwa kwenye hali gani?
Ni kweli bado huyo hajakomaa kwa level ya wanawake wa kizazi hiki. Kizazi cha zamani huyo ni mke anayejielewa tayari.Eti mwanamke mwenye miaka 23 huyo mwanamke au mtoto?
Mwanamke anaanza kujua thamani ya ndoa above 28 huko.
Below hapo piga mbupu tembea.
ShukranAchana nae huyo mkuu, bila shaka huyo atakau na jini LA chuma ulete
Wote wanafanana.Ifike pahala muache kusimanga wanawake wote sababu ya makosa yenu ya uchaguzi wa hao viumbe wachache..! tuheshimuni basii..!